Arsenal (The Gunners) | Special Thread

N

Na kwa man city hii, tusitegemee kupata ubingw kwa makosa ya mpinzani bali kwa ubora wetu, game za kipuuzi, hizi na aston villa, 2-2 vs chelsea, game na westham, kuna fulham, Tottenham ile game ya kwanza, ndio zimetuangusha saana,...
Ni sahihi kuna game kila ukizifikiria unatamani ufukuze timu yote.

Ila ninaimani lolote linatokea, jambo jema tumeupeleka ubingwa hadi game ya mwisho. Na pengine tukaenda hadi dakika za nyongeza hiyo siku ya j2.
 
Sasa ukute jamaa wanavyomsifia Klopp utasema anawapa ubingwa kila mwaka 😂😂
 
Wanacheza vizuri hawaachi gaps . 115fc kawaachia mpira anasubiri wakosee kuna muda walionyesha wanakosea ila kipindi cha kwanza bahati imekua upande wao.
 
Wanacheza vizuri hawaachi gaps . 115fc kawaachia mpira anasubiri wakosee kuna muda walionyesha wanakosea ila kipindi cha kwanza bahati imekua upande wao.
Gaps kubwa sana pembeni, haswa upande wa kulia ambapo Kyle maspidi ya duma Walker anajiachia tu. Hawa wataadhibiwa muda si mrefu.
 
Wana wachezaji gani wa kumzuia Aston Vill

Unaweza kukuta hyu anayejiita ImMrLiverpool ni kijana wa miaka 19 anayejifunza uchawi akiwa bdo kijana mdogo sana🤠🤠...na leo ndo atalia kabisa baada ya Spurs kupata Draw dhidi ya City
🤣🤣🤣🤣🤣 Una Halland, Rodri, Kdb, Foden eti utoe sare na spazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…