Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Saka, saka, saka.
Anapaswa afanye sana kazi ya ziada kwa kweli.

Hivi saka akienda west ham ama Everton atakuw bora hivi, je kudus akija arsenal nafasi ya saka atashi dwa kufanya bora zaidi ya saka?
Kudus akija Arsenal tutamkataa.

Kudus anacheza timu ambayo inategemea sana long balls na kuzishambulia spaces za mpinzani. Ambazo hizi unazipata kama mpinzani anakukaba kwa high pressing au hakufanyii low block.

Arsenal tunafanyiwa sana low block, Kudus akija itabidi aadopt kucheza kama Saka au asubiri game ambayo itaonekana transition na counter zitaleta majibu.

Muone Grealish akiwa Villa. City wakalipa 100M ila jamaa hakuscore karibia msimu mzima. Na akicheza huoni impact, nafikiri ndiyo maana Doku pia anakaa bench kwa sababu kama hizi.
 
Naangalia mazoezi ya mancity hapa wanajiandaa na game jumanne sijui wanacheza na nani lakini mazoezi makali sana. Rodri amekimbia kilimota 50.
Nawashauri msitarajie chochote

Kila mtu ashinde mechi zake.
Nakutakia kila la kheri na Aston Villa. Nona hasira na Villa sana nataka muwapige hata mkono ila uwezo wa kuwafunga sidhani kama mnao. Hivyo kisasi tutalipiza wenyewe msimu kesho.

Kwa leo, kila la kheri.
 
Kwa Man Utd hii iliyojichokea ya beki John Evans na Casemiro tena bila ya uwepo wa Engine ya team Captain Bruno Fernandez niliamini kabisa leo Arsenyo bila ya kikwazo chochote anaenda kurudisha zile goli 8 tulizomgonga mwaka 2011, kitu cha kushangaza kabisa eti United pamoja na kufungwa kagoli kamoja eti ndio imedominate game.
United hii iliyojichokea inayogongwa mpaka na kina Crystal Palace 4 - 0 halafu shabiki wa Arsenyau anajisifu kabisa kuifunga goli moja, kikubwa mmejipatia points3 za bure hongereni kwa hilo endeleeni tu kujipea false hopes kwenye game 2 zilizobaki za City huku pia msisahau kutuombea tufungwe kwenye fainali ya FA
Ila na msimu tukibahatika tena kubeba kombe halafu Arsenyo mkatoka mikono mitupu mtafute kabisa sayari ya kwenda kujifichaView attachment 2988908

Yaani sisi tutafute pa kujificha kisa hatujawapiga kono la nyani? Nyie huenda FA cup ndiyo njia pekee ya kuingia mashindano ya Ulaya. Bila hivyo nafasi ya 8 inawahusu. Halafu eti sisi tukajifiche. 😄😄😄😄
 
Mnajisifu kuwafunga goli 1 United isiyokuwa na CB na AM ya McTalantaless!
Nawaombea mbebe ndoo msimu huu maana baada ya hapa hata europa hamtagusa tena.
Narudia kusema tena, huu ulikuwa upepo kama wa leicester city na ndio umepita hivyo.
 
Wakuu Flano na allypipi heshima zenu

Kwaniaba ya wadau wa Jukwaa hili, tunawashukuru sana Kwa kuwa nasi kwenye vipindi vyote tulivyopitia hadi leo kucheza mechi yetu ya 37 huku tukijikusanyia alama 86.

Hizi ni alama nyingi uki-compare na alama 84 tulizokusanya Mwaka Jana

Kama Mungu akipenda tunaweza kuchukua Ubingwa Mwaka huu iwapo mpinzani wetu Man City atapoteza Kwa Spurs Jumanne.

Arteta ameonesha anakitu, hivyo iwapo ataendelea kuaminiwa na kupewa muda zaidi huenda akaja kutupatia Ubingwa Siku za hivi karibuni.

Endeleeni kutuombea ndoto yetu itimie

Iwapo tutafanikiwa kushinda Ubingwa nawahaidi kuwapatia Vocha za 10k Kila mmoja katika kusherehekea Ubingwa

COYGs 💪💪💪💪
Vocha sisi hatutaki tunachotaka sisi ni nyie mkose kombe tu hamis aendelee kujificha huko huko vichakani🤣🤣

Acha record ya Ferguson ivunjwe tu ila nyie wakora kombe msibebe tu.
 
Yaani sisi tutafute pa kujificha kisa hatujawapiga kono la nyani? Nyie huenda FA cup ndiyo njia pekee ya kuingia mashindano ya Ulaya. Bila hivyo nafasi ya 8 inawahusu. Halafu eti sisi tukajifiche.
Mkuu ukishaamua kushabikia Arsenyani automatically unakua na mentality za kinyaninyani, wapi mimi nimesema mtafute pa kujificha kisa hamjatupiga kono la nyani?

Nimesema Arsenyodo mkimaliza msimu mikono mitupu halafu Utd tukibahatisha kuchukua kombe la FA mtafute sayari ya kwenda ujificha.
(elewa kwanza neno kubahatisha) maana kiuhalisia na hizi beki zetu za kina Kambwala hatuna uwezo wa kumfunga City
 
Mnajisifu kuwafunga goli 1 United isiyokuwa na CB na AM ya McTalantaless!
Nawaombea mbebe ndoo msimu huu maana baada ya hapa hata europa hamtagusa tena.
Narudia kusema tena, huu ulikuwa upepo kama wa leicester city na ndio umepita hivyo.
Mkuu fuentte jambo la kwanza kabisa waombe radhi leicester city kwa kuwafananisha na vitu vya kijinga kijinga.
Jambo la pili hawa sio wa kuwaombea wapate hata kombe la uji, kama unawahurumia sana ni bora uwaombee wapate hata mimba lakini sio kombe.
Hebu vuta picha hawa Kima wanaongoza kwa clean shit na GD tu lakini humu hatupumui sasa wakibeba na kombe si watatupiga marufuku hata kuvuta Oxygen kabisa hawa?
Potelea mbali ni bora Epl ionekane ni Farmers League kwa City kujimilikisha hilo kombe mpaka pale timu nyingine zitakapokua tayari kuchuana na Kipara, lakini sio kwa hii misukule ya London kubeba kombe la ligi
 
Nimekuwa shabiki wa arsenal kwa zaidi ya miaka 25
Nimeangalia mech zenye tension kubwa na kawaida
Nimeona generation za wachezaji wengi na waliotarajiwa mengi
Nimeona ushindani wa makocha wengi ndani ya epl na mifumo mingi

Ila kwa sasa guys ligi imebadilika saaana.
Mechi moja unayopoteza August inaweza ikakuhukumu may
Ni kama kocha na wachezaji wanatakiwa kuwa full perfect with no room for errors and correction
Ukitazama quality ya makocha walioko epl kwa sasa unauona ugumu wa kubeba ligi

Kwa mara ya kwanza jana nimeangalia mech yetu kwa tension ya hali ya juu mno.

Kwenye somo la uokoaji hasa kwenye ajali za majini mtu unafundishwa kwamba hakuna kitu hatari kama kumuokoa mtu anayetaka kuzama.anaweza kukung'ang'ania na mkafa wote.

Jana united walikuwa wanatoa aura ya mtu anayezama na ameona mtu wa kutaka kumuokoa.wali give it all
Kocha alikuwa anataka kuproove kitu
Wachezaji walikuwa wanataka kuproove kitu
Hata mashabiki walikuwa wanataka kuproove kitu
Thanks united
 
Saka amechoka,anahitaji msaada wa a strong back up,tena awe ana style tofauti na ya saka

Tunahitaji namba sita mwingine partey na jorginho hawaaminiki

Tunahitaji mbadala wa odegard,a driving typical RCM with pace,dribbling skills,passer,long short merchant,physically tough,awe ni holder wa mpira haswahaswa na mwisho na muhimu mno awe na atributes za ulinzi.ode kuna muda anapwaya na anakata pumzi

Tunahitaji sriker wa magoli,awe na attributes kidogo za link up play ila alijue goli vizuri na ningependa awe awe above 25

Tunahitaji legend mmoja wa invisible au mwingine yoyote akae bench la ufundi na awajenge madogo kwenye mech za tension kubwa na ndo maana timu imesita kumuacha jorgy
 
Kwa Man Utd hii iliyojichokea ya beki John Evans na Casemiro tena bila ya uwepo wa Engine ya team Captain Bruno Fernandez niliamini kabisa leo Arsenyo bila ya kikwazo chochote anaenda kurudisha zile goli 8 tulizomgonga mwaka 2011, kitu cha kushangaza kabisa eti United pamoja na kufungwa kagoli kamoja eti ndio imedominate game.
United hii iliyojichokea inayogongwa mpaka na kina Crystal Palace 4 - 0 halafu shabiki wa Arsenyau anajisifu kabisa kuifunga goli moja, kikubwa mmejipatia points3 za bure hongereni kwa hilo endeleeni tu kujipea false hopes kwenye game 2 zilizobaki za City huku pia msisahau kutuombea tufungwe kwenye fainali ya FA
Ila na msimu tukibahatika tena kubeba kombe halafu Arsenyo mkatoka mikono mitupu mtafute kabisa sayari ya kwenda kujifichaView attachment 2988908
Msimu ujao mnamaliza wa 15 hakyanani🤠🤠...kama mentality ya timu yenu ndo hii kwmba mmetufunga ila wachezaji Fulani hawakuwepo hakyanani mna Hali ngumu huko mbele....labda muuze kikosi kizima kitu ambacho hakiwezekani....tabu ipo palepale
 
Saka amechoka,anahitaji msaada wa a strong back up,tena awe ana style tofauti na ya saka

Tunahitaji namba sita mwingine partey na jorginho hawaaminiki

Tunahitaji mbadala wa odegard,a driving typical RCM with pace,dribbling skills,passer,long short merchant,physically tough,awe ni holder wa mpira haswahaswa na mwisho na muhimu mno awe na atributes za ulinzi.ode kuna muda anapwaya na anakata pumzi

Tunahitaji sriker wa magoli,awe na attributes kidogo za link up play ila alijue goli vizuri na ningependa awe awe above 25

Tunahitaji legend mmoja wa invisible au mwingine yoyote akae bench la ufundi na awajenge madogo kwenye mech za tension kubwa na ndo maana timu imesita kumuacha jorgy
Nakubaliana na wewe, Partey jana alikuwa below Average, so is Saka. Ollise asingekuwa na injuries, ningeshauri aje kumpa challenge Saka
 
Vocha sisi hatutaki tunachotaka sisi ni nyie mkose kombe tu hamis aendelee kujificha huko huko vichakani🤣🤣

Acha record ya Ferguson ivunjwe tu ila nyie wakora kombe msibebe tu.
Hahaha............tafadhali tuombeeni tubebe hili Kombe, tuna muda mrefu hatujanyanyua hilo Kombe

Ila Vocha zenu bado ninazo, endeleeni kutuombea
 
Mkuu ukishaamua kushabikia Arsenyani automatically unakua na mentality za kinyaninyani, wapi mimi nimesema mtafute pa kujificha kisa hamjatupiga kono la nyani?

Nimesema Arsenyodo mkimaliza msimu mikono mitupu halafu Utd tukibahatisha kuchukua kombe la FA mtafute sayari ya kwenda ujificha.
(elewa kwanza neno kubahatisha) maana kiuhalisia na hizi beki zetu za kina Kambwala hatuna uwezo wa kumfunga City
Wewe kinachookuuma ni sisi kutowafunga kono la nyani. Hizo ndoto za hata kubahatisha kumpiga City sijui unazipatia wapi.

Labda nikusaidie kuota:

City atashinda Premier League.
Sasa tuseme Pep hana hasira yoyote ya kukosa Champions League. Hana hasira yoyote ya kukosa Kalagabaho. Yeye awe amefurahi kabisa na kushinda EPL pekee na asitake kabisa kushinda FA pia.

Kwa hali hiyo, naona mnaweza kubahatisha hilo FA, ila usidhani tunahaja ya kujificha popote.

Kiukweli, kama mnataka kucheza Ulaya msimu kesho, kushinda FA ndiyo njia pekee mliyonayo. Newcastle hawatawabembeleza kama sisi. Chelsea hawatawaacha muwapite...
 
sisi mashabiki wa arsenal tunaombea spurs amkazie city ila kabla ya kuombea spurs amkazie city tumuombee liver amchape Aston villa ikitokea hvy nakwambia game ya kesho city ushindi wake mkubwa ni draw spurs watakaza sana washinde Kwan mechi ya mwsh crystal palace atacheza na Aston villa ambapo kutoboa ni ngumu ila ikitokea liver akafungwa spurs hatoingia top 4 na atamuachia city ashinde
 
Back
Top Bottom