Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal hii game tunaonekana kama tumechoka sana. Tunahitaji walau ushindi wa goli 3 tu. Vinginevyo kwa speed ya man city wanaweza kutushinda kila kitu.

Arsenal tuchukue tu huu ubingwa, haiwezekan tumfunge man city afu tuukose ubingwa.
 
sasa kama mmeshinda kipapatu papatu kwa man u iliyojiishia hii beki casemiro na evans zile nane mtaludisha lini.🤣🤣🤣

Je wajua Wenger orphans ndo timu pekee kubwa pale EPL aina record ya kumfunga man u goal kuanzia 4 toka EPL ianzishwe. tuonane msimu ujao.
1689476232207.jpg
 
sasa kama mmeshinda kipapatu papatu kwa man u iliyojiishia hii beki casemiro na evans zile nane mtaludisha lini.🤣🤣🤣

Je wajua Wenger orphans ndo timu pekee kubwa pale EPL aina record ya kumfunga man u goal kuanzia 4 toka EPL ianzishwe. tuonane msimu ujao.View attachment 2988893
Sikumbuki pia Arsenal huko kabla pamoja na ubovu aliowahi kuwa nao alishawahi kumaliza league akiwa na negative(-ve) goal difference. Kitu ambacho nakiona kwa Man utd kinaenda kutokea. Poor Man utd
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom