makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 36,011
- 104,562
Ngoja nikacheki, lakini suala la kucahgua mchezaji wa kocha ni mapenzi yake.. giroud vs benzema, tchoumeni vs camavinga, kai vs jesus, mjomba NTIBAZOKIZA ๐คฃKaangalie takwimu kaka. Saliba hakuna beki mule kama unabisha muulize Didier Dechamp
Sio mbaya, mo elneny aliongezewa mkataba na muda mwingi alikua akiutumia benchi/wodini ila Jorginho yeye anakupa guarantee ya kucheza maana sio injury proneJorginho atabaki Arsenal msimu ujao.
Amesaini mkataba mpya nadhani wa mwaka mmoja.
Elneny aliumia vibaya ndiyo maana tukamuongezea mkataba ili apate nafasi ya kupona na kurudi katika hali yake na aweze kupata timu. Bila hivyo, Arsenal waliogopa career yake itaisha . Nafikiri pia ameanza mafunzo ya ukocha muda sasa. Anaweza kujikuta anafundisha U16s au U18s.Sio mbaya, mo elneny aliongezewa mkataba na muda mwingi alikua akiutumia benchi/wodini ila Jorginho yeye anakupa guarantee ya kucheza maana sio injury prone
Ni katika harakati za kukumbushana tuu, tusichukiane wakuu.Kukumbushana tu ndugu zetu vibwengo wa arteta.
1. CARABAO: MMETOLEWAโโโโ
2. FA CUP: MMETOLEWAโโโโ
3. UEFA CHAMPIONS LEAGUE: MMETOLEWAโโโโ
4. PREMIER LEAGUE: BADO MNADANGANYANA MTASHINDA(๐๐๐๐)
Sasa hao wachawi iliowatag hapo, unawaita kwa sababu gani?Leo ile naingia X nakutana na kioja cha mwaoa 2024
๐จ๐จ| NEW: Arsenal have confirmed they will hold a Premier League trophy open top bus parade on Monday the 20th May if they win the title. ๐ฎ๐
View: https://twitter.com/centregoals/status/1788692974538235914?t=gJvq9vdjEpgxg54_lfKqiA&s=19
cc Flano Mkohoti
Kawaida yao kenge hawa.Leo ile naingia X nakutana na kioja cha mwaoa 2024
๐จ๐จ| NEW: Arsenal have confirmed they will hold a Premier League trophy open top bus parade on Monday the 20th May if they win the title. ๐ฎ๐
View: https://twitter.com/centregoals/status/1788692974538235914?t=gJvq9vdjEpgxg54_lfKqiA&s=19
cc Flano Mkohoti
Unateseka ukiwa wapi ewe kuku mwenye kideriXhaka's last loss was in Arsenal's Shirt. Kenge nyie.
Unaeza mpiga Manjestaa wewe ,Nyumbu apigwe ngapi?
Binafsi nashauri apigwe 5, kuweka sawa GD
Bingwa wa msimu huu ataamauliwa na GD
Hizi kondoo zinafikiri ubingwa ni hayo hapo kwenye picha.Leo ile naingia X nakutana na kioja cha mwaoa 2024
๐จ๐จ| NEW: Arsenal have confirmed they will hold a Premier League trophy open top bus parade on Monday the 20th May if they win the title. ๐ฎ๐
View: https://twitter.com/centregoals/status/1788692974538235914?t=gJvq9vdjEpgxg54_lfKqiA&s=19
cc Flano Mkohoti
Huyu jamaa wa nyuma ni kama vile haamini anachokiona..uo m'binuko siyo powa ๐๐๐๐๐Hizi kondoo zinafikiri ubingwa ni hayo hapo kwenye picha.View attachment 2986708