Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Miaka ya mbele wapinzani watapata tabu sana....tuna mijitu ya kazi sasahivi tumepelea watu kama wanne hivi tuwe na kikosi cha kufukuzisha makocha kazi...wailete hiyo kitu Ili tujue ypi anashinda kimpira na yupi anatumia mauzauza
 
Hapa wakati makande ndo yameingia tu tumboni jamaa akashushia na maji.🤣🤣🤣

Ukiachana na kichekesho kama ichi Wenger orphans walitoa vichekesho vingi sana yani🤣🤣🤣
 
Bro, tuna wasiwasi jamaa anaumwa au kuna shida flani. Ile 5g tu tuliyompiga Chelkenge ilitosha kumfanya mwenzetu aonekane usiku ule ule, ila mpaka leo holaa.
Kama ndio hivyo tumuweke jamaa kenye sala zetu apate nafuu ya haraka aendelee kutuletea burudani hapa. Maana huwa anawapa moyo sana mambo yakienda yoyo washika mitutu.
 
Kama ndio hivyo tumuweke jamaa kenye sala zetu apate nafuu ya haraka aendelee kutuletea burudani hapa. Maana huwa anawapa moyo sana mambo yakienda yoyo washika mitutu.
Jamaa aumwi wala nini ashasema kile kipigo cha Aston Villa kimemfanya a focus na biashara yake ya kuuza jezi kule Twitter X kule X muda wote. ana post vitu hapa naona anaogopa kupigwa mawe kwa comment zake na lijamaa uwaga alikomi.🤣🤣🤣🤣

Kweli Bayern na Aston Villa ni kiboko hata ile account ya busara za gwiji la Highbury hakuna tena🤣🤣🤣🤣🤣
 
Nitumie DM account yake ya X nimuendee hukohuko, haiwezekani akatema bungo mapema hivi na kuwaachia msala chawa wake [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Nitumie DM account yake ya X nimuendee hukohuko, haiwezekani akatema bungo mapema hivi na kuwaachia msala chawa wake [emoji16][emoji16][emoji16]
Mkuu nadhani sina iyo haki kufanya ivyo yeye labda a share hapa mwenyewe.
 
Jamaa Twitter anatumia jina gani[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Chawa wake tumfollow na kupata nondo za mjini Highbury pale
Giwiji la Highbury lipo kamili gado mjini twitter linashusha madini. Sema kutoa jina la account labda atoe mwenyewe 😀

Ila kumtafuta ni rahisi sna kama kweli una nia. Mimi haikuchukua hata dakika 5 kuipata account yake masingeli twitter 😀
 
Magoli na maassist yamezagaa uwanja/kikosi kizima. Hapo bado benchi wako akina Jorginho, akina Jesus....

Halafu mtu anakuja kuuliza eti Saka na Gordon, mara sijui Havertz na Jackson, eti Palmer....

Sijui nani aliwaambia hizo ni shida zetu.

 
Security guard anavyotufatafata utadhani sisi ndo tuko kwny nafasi Yao halafu wao wako kwny nafasi yetu....kumbe ni tofauti kabisa[emoji1783][emoji1783]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Sio hivyo Mkuu, Masingeli ni mshkaji wangu sana, nataka nimpe tu pongezi za kumpiga ChelKenge kono la nyani[emoji16][emoji16][emoji16]
Mwamba tumemmisi sana aiseee, hatutendei haki kabisa kwa kulitelekeza jukwaa kwa kipindi chote hiki, kama vipi angekuja tu hata na zile busara zake za gwiji la Highbury[emoji23][emoji23][emoji23]
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…