Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kumbe mchambuzi nguli alilazwa kisa kichapo cha Aston Villa naona kapost leo huko X tuna msubiri kwa hamu kubwa hapa. bwana hamis77 upunguze matarajio na hii timu tutakuzika mapema sana kijana🤣🤣View attachment 2973536
Malaria na Arsenal wapi na wapi aisee...halafu tuliambiwa Malaria imetokomezwa...hii inakuwaje hii🤔🤔
 
Kumbe mchambuzi nguli alilazwa kisa kichapo cha Aston Villa naona kapost leo huko X tuna msubiri kwa hamu kubwa hapa. bwana hamis77 upunguze matarajio na hii timu tutakuzika mapema sana kijana
View attachment 2973536
Cha-mbuzi nguli la soka lenye leseni ya Fifa daraja A toka Zurich Uswiswi kama Aston Villa tu imemfanya akalazwa basi Spurs na Utd zitampeleka ICU kabisa
 
Mm personally ntamtafuta security guard majukwaa yte hata kama hatanijibu...nikiona kakausha...namzukia DM...hyu anatusumbua sana hmu...kutwa kutuwangia halafu ukirudi kule kwao Kila siku ni kama wanaomboleza....haijawahi kucheza timu Yao wakawa wametulia...mda wte ni roho mkononi
Ole wenu wakitwaa kombe sijui mtajificha wapi na kejeli zenu japoMan City ana nafasi kubwa kutetea ubingwa mpaka hapo
Perso
 
Na nikawambia ni rahisi kushindana na liva kuliko city.

Tumtoe kafara flano ili city asikae juu.

Mkagoma.

Matokeo yake city akawa juu, flano yupo hai anatupigia kelele
Hivi mnamuona Masingeli ni mjinga kulikimbia jukwaa mapema kabla hata ligi kuisha???
Jamaa kapiga hesabu ya mechi zilizobaki akaona Arsenyau mechi zao ni sawa na kupanda mlima huku Mancity wao ndio wanateremka mlimani
 
Zamani ilikua unasikia "De Zerbi kocha hatari" waandishi wanamhoji juu ya formation wakatengeneza na quotes.

Kisha wakamfananisha na Arteta.

Alivyoanza kunyooshwa siku hizi humsikii tena
 
Zamani ilikua unasikia "De Zerbi kocha hatari" waandishi wanamhoji juu ya formation wakatengeneza na quotes.

Kisha wakamfananisha na Arteta.

Alivyoanza kunyooshwa siku hizi humsikii tena
Hakuna mtu alikua anatupigia makelele humu kuhusu De Zerbi kama Masingeli.
Sijui sasa hivi anajisikiaje huko aliko juu ya De Zebra wake.
 
Zamani ilikua unasikia "De Zerbi kocha hatari" waandishi wanamhoji juu ya formation wakatengeneza na quotes.

Kisha wakamfananisha na Arteta.

Alivyoanza kunyooshwa siku hizi humsikii tena
sio kocha m'baya nenda kaangalie list ya injury wake ndio uje umtolee critics soo far he is an elite coach

Ferguson
milner
mitoma
march
estupinan
Enciso

hawa ni elite first eleven yake unawahitaji kwa asilimia 100 uweze ku implement style yako ya mpira
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…