Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mpira bwana

Wiki iliyopita wamesifia Isak leo kawa hovyo kabisa.

Niliandika ile siku kwamba wanaosema tunamhitaji wajue kwamba anascore sana magoli ya counter na transition kwenye low block haruki.

Hata wiki haijaisha proof hii hapa.

Mateta hua namuona miyeyusho eti leo ndiye kawanyima usingizi hawa mijusi. Kuna mtu anazurura kusumbua watu mara chelsea atawafanya hiki na kile yeye leo kapigwa ndonga mbili kalegea
 
Mijusi wamekamuliwa na Mateta sio🀣🀣🀣
 
Matarajio ya wapinzani wetu kwa sasa yamebaki kwa City, ambao wanategemea watashinda mechi zote huku sisi tukiambiwa tumebakiza mechi ngumu.

Wengine wanaumia kwa kutokubali kama tupo kwenye ubora kuliko timu zao na ikatokea tukashinda ligi msimu huu basi wanajua hawatopumua, na watakosa hoja kwenye EPL, kimbilio lao litabaki kwenye CL.

So again this season, we're against everyone.
 
😎😲🀣 emirates league au
 
Mwaka jana tulipopoteza uongozi wa points tano tuliitwa 'bottlers'

Mwaka huu liverpunda wamepoteza wao uongozi wa points tano kwetu, nane kwa city wanasema 'wame-overperform'

It is what it is
 
Mpira bwana

Wiki iliyopita wamesifia Isak leo kawa hovyo kabisa.

Niliandika ile siku kwamba wanaosema tunamhitaji wajue kwamba anascore sana magoli ya counter na transition kwenye low block haruki.

Hata wiki haijaisha proof hii hapa.
Ni vizuri kuwa na wachezaji wa profile tofautitofauti, tutakuwa unpredictable
 
Honestly kwangu mimi mechi ngumu tuliyobaki nayo ni Bournemouth. Msiwachukulie poa
 
Mwaka jana tulipopoteza uongozi wa points tano tuliitwa 'bottlers'

Mwaka huu liverpunda wamepoteza wao uongozi wa points tano kwetu, nane kwa city wanasema 'wame-overperform'

It is what it is View attachment 2973289
Mwaka jana nyinyi mliongoza ligi kwa siku 258, Liverpool wao wameongoza ligi msimu huu kwa siku ngapi?
Nyinyi mmevunja rekodi ya bottlers wote duniani.
Halafu mkashona mpaka na vijora vya kusherehekea ubingwa kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…