Mtu anapewa sifa nzuri au mbaya kulingana na wingi wa mazuri na mabaya yake ... Kai kwangu anakera zaidi kuliko kufurahisha, haimaanishi kina trossard, saliba, raya hawakosei, nao inatokea wanakosea lakini mazuri yao ni mengi zaidi.
Kwangu ngongoti kai ni big NO mpaka abadilike.