Arsenal (The Gunners) | Special Thread

[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Acheni kumkana kijana wenu, msiwe kama Mayuda Eskarioti.
Hata kama kweli sio Arsenyo ila ana elements na mentality za Kiarsenyau[emoji16][emoji16][emoji16]
Amini unachotaka mzee
 
Anaitwa Kai Miguno...Kai michano...Kai miswaga🤠🤠...jana kashangilia kishenzi...Chelsea inaonekana walimtimua kabisa yle jamaa...wakaleta Kai wa kiafrika🤠🤠...mzee wa kubadili blichi kichwani...na wakimshindwa watupe sisi tumtumie yy na mwenzie Mudryk
Mi mwenyewe leo nimemuacha Kai huku mtandaoni ila jana alishanitibua wakati wa game. Alipofunga nilishangaa sana halafu ndiyo nikashangilia
ai
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…