Na bado kuna watu wataleta vitakwimu vya ufungaji wa vichezaji vyao humu. Tunahitaji striker katili ila zaidi tunahitaji mfumo huu uliopo uimarike na udumu.Yaan hii Arsenal pamoja na kuwa ndo timu ilofunga magoli mengi zaidi lakini haijaweka top scorer 4 ktk ligi. What a team work. 💪🏼
Wakituliz akili watapata mbadala wa partey, wachezaji wazuri wapo muhimu scouting ya kutosha.Hapo ndo penyewe kabisa na ndo kutamfanya kushine zaid na zaid, namuona akitengeneza nafasi nyingi, akifunga sana kwenye 8, ila kupata replacement ya Partey daah sio rahis aisee yule mwamba ni habari nyingine kabisa
Karibu sana mchawi.Jumapili tuombeane uzima yani mtaeleza
View attachment 2972249J
Leicester nao wamempiga Southampton 5 bila.Kono la nyani everywhere 😆😆
Wakituliz akili watapata mbadala wa partey, wachezaji wazuri wapo muhimu scouting ya kutosha.
Partey majeruhi ndio yamemponza, trip shamba, trip gereji.
5-0Chelsea anaenda kusulubisha mtu
Kama mnataka ushindi kwenye makombe ya msingi siyo sahihi kujaribisha watu.partey role yake timber pia anaiweza.. arteta akituliza akili vizuri.. timber anaeza kuwa kiraka mzuri tu.
rice pia anaweza kufanya majukumu ya partey.. kuwa juu ya CBs na pia ata kwenye majukumu yake yeye ya rice kama jinsi sasaivi anavocheza pia timber
nae anaweza kufanya vizuri.
Wazee utani kidogo tuu mmetushushia kipigo heavy aisee, tuongezeeni basi pesa kidogo kwa Kai, acheni ubahili.
naona mmeshiba makande mmeanza kubwabwaja sasa yani nyie toka EPL ianze amna record ya kutufunga hata goal 4 na kuendelea ile ni OT wewe mkora kuwa makini.Wote waliotucheka kutoka UEFA na kupokea kipigo Cha Bayern.
Lazima watalipa yale machungu
Nyumbu jiandae kwa KONO LA NYANI
Anaona mmeshiba makande mmeanza kubwabwaja sasa yani nyie toka EPL ianze amna record ya kutufunga hata goal 4 na kuendelea ile ni OT wewe mkora kuwa makini.
usije ukakimbia jukwaa kama ndugu yako.
Kwasababu Ile role ya no. 6 inamfaa zaidi mtu mnyumbulifu na passer mzuri kama ParteyKabisa anachofanya Rice kwenye 8 ni vitu tunavyomis kama akicheza 6..
Huu mjadala niliuona umu ndani wakati ligi haijaanza pale tu tulipomsajili Rice.
Unamkosea heshima OzilNamuona Ozil kwenye miguu ya kai
Mbona mechi ya Aston Villa mlikuwa mnamponda mnasema awaachie team yenu.?Arteta atawafukuzisha makocha wengi
Habari, hujambo?Masingeli sasa atakuja kuendelea na uchambuzi