Mkuu, inatosha.. basi msameheUnajiskiaje points zako hazifiki GD ya gunners
Dogo ana utulivu na akili kubwa sana ya mpira. Namheshimu sana aliyeona anafaa kuwa team captain.Huyu Odegaard tuwaongezee madrid cent kadhaa.
Ngoja next season umuone VieiraDogo ana utulivu na akili kubwa sana ya mpira. Namheshimu sana aliyeona anafaa kuwa team captain.
GD haileti kombe lolote mezani,Unajiskiaje points zako hazifiki GD ya gunners
Kesho tupo na nyny kuona mkitandaza bolu🤣🤣🤣....security guard una Fujo sana aiseeGD haileti kombe lolote mezani,
Mwaka juzi mlikua mnajisifu na cleanshit ziliwasaidia kupota kombe gani?
Msimu ulioisha mkajisifu kwa pressing & overloading ziliwapea kombe lipi mezani?
Msimu huu mmehamia kwenye GD ndio maana kila siku tunaongea humu Arsenyau mna mentalities za mid table teams, badala ya kuhangaika na vitu vya maana nyinyi kila msimu mnahangaika na vitu ambavyo havitawapea kombe lolote mezani.
Ulisema aiseeBado 3
Acha watu tufurahi weweeee.GD haileti kombe lolote mezani,
Mwaka juzi mlikua mnajisifu na cleanshit ziliwasaidia kupota kombe gani?
Msimu ulioisha mkajisifu kwa pressing & overloading ziliwapea kombe lipi mezani?
Msimu huu mmehamia kwenye GD ndio maana kila siku tunaongea humu Arsenyau mna mentalities za mid table teams, badala ya kuhangaika na vitu vya maana nyinyi kila msimu mnahangaika na vitu ambavyo havitawapea kombe lolote mezani.
Timu zote zilizotaka ushindi kwa Arsenal zilipaki basi. Kenge alipigwa moja la mapema akalazimika ajaribu kusawazisha.Ulisema aisee
Hakuna mchezaji, kwenye mpira ni dhmbi kubwa kumfananisha ozil na huyu mpumbavu kai.Namuona Ozil kwenye miguu ya kai
Incredible playerDogo ana utulivu na akili kubwa sana ya mpira. Namheshimu sana aliyeona anafaa kuwa team captain.