Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

I already said huyu Kai anakua mzuri akiwa na watu pembeni. One two n the like, kulifuata goli ilibidi awe Jesus
 
Kwa hii game hatuhitaji height yake. Nafikiri angekuwepo Jesus, baadhi ya zile chances angejaribu kushoot ba huenda angepata goli
 
second half inahitajika fresh legs.. wachezaji wengi wa arsenal wanaonkana kuchoka sana na hii ni sababu ya wengi wao kucheza dakika nyingi zaidi msimu huu tofauti na wanaotokea benchi.
 
Vieira kwa odegard

Martinelli kwa Trossard
 
Back
Top Bottom