Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Madrid unamjua unamsikia?
 
unapigwa comeback na wa watotoo wadogo... wewe ata europa huendi next season. .. mzee walter white hawapeleki nchi ya ahadi
Man Utd tunakula kwa jasho huku ndugu zetu Arsemwali wao hua wanazaa kwa uchungu kila mwisho wa msimu.
 
Ten hag 2 years 3 finals
Arteta 4 years 0......????

the worst team with the worst coach and the worst playing style got silverware against the most complete quality team

sometimes lucky matters the most in these certain criterias if you want to gain achievements

God is with us all the time... all the time god is good
And that's the Nature you need to have
 
Kweli kabisa. Nyie mpo hapo si kwa nguvu zenu wenyewe, bali...
😄😄😄
 
Carling cup??🤠🤠...hzi final za FA cup tunajuq mnaenda kukamilisha ratiba tu...hamna jipya....mnapigwa comeback na timu ya daraja la 10 halafu unqkuja kutujazia nzi hmu
 
Leo umeibuka baada ya kubahatisha ushindi pale craven cottage
....bdo zingine za ugenini tunawaombea dua ya kunguni
Nipo humu hata kabla mechi ya Liver haijaanza
Na hata ratiba nilikuwa sijui maana nimekuwa busy sana hizi wiki

Ila hizi habari za ars8 zimenichekesha mno,,ndio naziona leo

Nyie,nimefurahi
 
Ukimkuta Masingeli anavyoiponda manyumbu United yenye carabao Cup msimu jana,

Unaweza dhani timu yake ya maana sana
Kumbe haina kikombe chochote zaidi ya kisinia cha biriyani cha miaka hiyo
Kisinia cha biriani na hiko kikombe cha kahawa vina tofauti gani🤠🤠...carling cup ilitakiwa waweke ziwe zinacheza timu zinazoshika nafasi ya 10 kushuka chini unazichanganya na timu za championship huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…