Arsenal (The Gunners) | Special Thread

oyaa mzee baba,kwahiyo unaamini kabisa hao watoto
wa darajani watakuja kutamba pale emirates
acha utani kiongozi. kifupi hao watoto wanatuletea point zetu 3
niamini bro
 
Mannual na Chelkenge watoe hapo...hao ni laana inayotembea....kila siku majukwaa yao yamejaa malalqmiko....
 
Kajisafishe nije nikufi[emoji1617] ukojoe Kwa nyuma
Mbaga mimi binafsi hua nakukubali sana ndugu yangu, ila nakuomba acha hizo mambo za kutukanana, ukiona mtu anakukera ni bora tu kumuignore, matusi hua yanapunguza heshima na busara ya mtu.
Tuendelee kuzitania tu hizi Kima za humu lakini tusifikie huko kwenye kutoleana maneno machafu na hizi mbuzi zenye stress ambazo tayari zimeshajikatia tamaa.
 
Arteta asitudanganye na Rice pia Asitudanganye kua yeye ni number 6 bora kabisa, ila mbona kila akicheza namba 8 ndo tunauona ubora wake mkubwa kuliko 6.
 
hakuna mwana arsenal yoyote aliyekata tamaa boss
ukiona mtu najiita muarsenal alafu anasema amekata tamaa,
huyo ni mamluki tu
 
N kweli mkuu ndo mana comment yake ya mwisho nimeshow love then sijamjibu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…