Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Akitokea mtu akakuambia kwanza timu yenu haina world class players ndiyo maana CL mmetolewa.

Kwa EPL ni timu mbili tu zilikua robo fainali sisi na site. Hawa site wana shabiki mmoja tu mtuliza maumivu wanaume wote wa Bom Bom kijiwe samli. So huyu anayeandika hivi timu yake yenye wolrd class players iko wapi?

Nafasi ya 10? Europa au conference league? Hii timu yake yenye world class players haijatufunga msimu huu, watakuja wengi wengi.

Wasubiri
 
Mambo yamekuwa magumu ila ni wakati wa Arteta kuonyesha kukua kiakili na kisaikolojia. Uzuri wake jamaa ameonyesha kuwa mtu wa kujifunza na kurekebisha mambo msimu kwa msimu. Tuendelee kutumaini maana kiukweli amefanya kazi ngumu na nzuri mpaka hapa. Hata sisi #Atretaout tunamtetea na kumuombea mema tu.
 
kwani kuna mshika bunduki anayemponda mkuu
nimegundua wanaomponda,wakilia artetaout ni timu zingine
 
Si amini kama na msimu huu mnatoka mikono mitupu
. Pamoja na kuwa kwenye Pick form lakini makombe yote mnaziacha ivi ivi hapana aisee. Fanyeni juu chini mchukue ipielo lasivyo hamtakuwa na utofauti na burnley anaeshuka daraja
Kwamimi sioni maajabu hata wakitoka mikono mitupu. Kujenga timu ya ushindani kwa muda mrefu sio jambo dogo. Wakiongeza wachezaji msimu ujao tutashindana. Wakishindwa tena mwakani!? Kutakua na shida
 
137yrs
2 semifinal UCL
1 final=runner up UCL🤣
1 final UEL runner up
 

Attachments

  • IMG_20240418_194958.jpg
    58.8 KB · Views: 16
Mkora hamis77 kajificha wapi tunaamu nae Sana hapa.View attachment 2968209
Masingeli ana kale kamsemo kake ka "mkitufunga ni sawa na kunguru kumnyea binadamu anajifuta safari inaendelea" lakini haka kamsemo naona hua hakafanyi kazi kwenye mechi za mwisho za msimu.
Nawaomba mkorea na arsenal2004 mjitahidi sana kua karibu na boss wenu Masingeli, jamaa anaweza kujidhuru muda wowote maana yupo kwenye gridi kubwa ya msongo wa mawazo.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…