Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hiviwewe unadhani unachukua tu kama unachukua tonge la ugali kwa sahani?

Huwa mnawaza kweli?

kuchukua ni lazima ujipange ndio na ndipo niliposema kwa msimu ujao kama huu hatpata chochote.. excuse yake itakuwa ni ubingwa wa EPL ama mashindano ya ulaya na si vinginevo.

ikishindikana itabidi afanye kama xavi.. unkaa pembeni.. mwingine anakuja kuendleza pale ulipoishia.
 
Arsenali ana world class player mmoja tu
Declan Rice
Wengine wote ni a bunch of average players
Mpaka mtakapokubaliana na hili ndio mtafanya maamuzi magumu kwa Transfer market
rice saka odegard hawa ni worldclass players walio baki hawawezi ingia squad ya Madrid wala city
 
Una kona kama hii dakika ya mwna tena kwenye UCL halafu unapiga kama uko kwenye mazoezi
Arsenal mmetolewa kwa sababu hamna uzoefu na haya mashindano na kocha wenu hata kama ni mzuri hana naye uzoefu wa haya mashindano. Mnafikiri kumiliki mpira sana ndio kushinda

Real Madrid wamemiliki mpira kwa 30%
Sisi tulipocheza na Bayern 2012 tulimiliki mpira nadhani kwenye hiyo hiyo 30 au chini ya hapo hadi tukafikia penalti tukawatoa

Your browser is not able to display this video.


Angalieni jinsi wanaume wanavyokaza tunapokuwa kwenye michuano mikubwa na timu kubwa kama Bayern Munich

Your browser is not able to display this video.
 
Madrid na City hawawezi kukuzia wachezaji waje wawe worldclass in your team...

hawa kina zincheko g. jesus wanaweza wakawa ni project ya pep ndani ya arsenal bila wao kujua

the same tu man utd upande wao wanapenda kununua magarasa washed out player wakina case varane huwez toa 100m for them hapo bado wanaweza jazwa na yule mafia perez awape kross na modric kwa another 100m
 
shida sio quality ya hao experience players bought shida ni consistency jee wanaweza toboa 15 games without injuries
 
Tumeshatolewa...mmeridhika sasa??...roho ya kwann tu
 
Biashara imekwisha kama nilivyoandika hapa. Nakumbuka Akina hamis77 Will Jr Castr Montserrat waliniita pessimist.

Vijana kubalini kukaa chini na kujifunza kwa watu waliotangulia kuufahamu mpira wa miguu. Nimeangalia mpira miaka mingi na ninaifahamu Arsenal.

Jana Arsenal imekuwa outplayed na dominated na timu iliyochoka kama bayern. Timu inaonewa kwenye ligi lakini imetutesa Arsenal.

Jana nadhani mmeona jinsi Arsenal tulivyo na classic players wawili tu, Saliba na Rice. Wachezaji wengine ni mid table watupu.

Ondoa Arteta pamoja na takataka zake akina Odegaard, Zinchenko, Magalhaes, Gabriel Jesus, Havertz, Nketiah, Jorginho, Rowe nk.

Timu ianze upya na icheze objective football.
 
 
Arsenal imekua outplayed na dominated?

Wewe umeangalia mpira?
 
Wewe jamaa unaongeaga ukweli mchungu sana ambao asilimia kubwa ya mafalse hopes ya humu hua hayapendi kuusikia, mara nyingi hua unaongelea uhalisia wa timu yenu ilivyo kitu ambacho kinasababisha wanazi wasiopenda kusikia madhaifu ya timu yao wakuchukie, humu wengi wanataka kusikia mazuri ya timu tu, ukiongelea mapungufu watu wanakuona ni mamluki au haujui kitu kuhusu mpira.
 

Sisi tulikua tunamtaka Madrid kmmkπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚. Ilikua lazima tujiamini Flank, sio kinyongeπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Sitaki kuamini kujenga timu ni rahisi namna hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…