Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Tuna timu nzuri, lakini bado tunacheza kitoto kidoogo, inabidi tujiupgrade tuwe level ya UEFA hatuko mbali sana kuwa kwenye level za UEFA.

hatuna ukatili wa kutosha mbee ya lango la mpinzani, kina saka bado hawajakomaa vya kutosha, tunahitaji striker .

Hii game tukitulia tunaweza kutoboa bado game 50:50
 
Back
Top Bottom