Mmoja leo usiku anacheza CL na timu yake inagombea ubingwa.
Mjerumani hapo alipo anatetemeka sana huku anatamani mechi ihairishwe ila ndiyo hivyo, wakali tupo Munich na muda mfupi tu tutamtema Mjerumani kwenye UCL.
Tupo ndugu yangu wala hatujajikatia tamaaNdugu yangu HENRY14 naona umeamua kukamatia mikoba ya Masingeli ya kuendeleza false hopes, ukitaka kujua misukule ya humu tayari imeshajikatia tamaa leo timu yao inacheza lakini comments kuhusu mechi ya leo hazifiki hata 3
Raha sana kuona makondoo ya humu yanaishi kwa stress kama vile yanadaiwa kodi ya nyumba
Dunia ishange kitu gani Mafriko yaliongia Dubai mall auLeo dunia itashangaa
CoYG
Ubingwa wa kunywa ulanzi labdaMmoja leo usiku anacheza CL na timu yake inagombea ubingwa.
Mwingine anagombea penati na wenzake.
Watu wengine kama wajinga
Dunia ishange kitu gani Mafrko yaliongia Dubai mall au
Sema nae toka amerud bado hayupo kwenye ubora wake, anapiga pasi nyingi hovyo na makosa ya kadi ni rahisi sana.Partey anachangamoto gani kuto-kuanza?
Leo partey akianza, tusipo-qualify. NIULIZWE MIMI
View attachment 2966577
Mtu akishakuwa ana skills, nguvu na mnyumbulifu aaah, huwa nakuw na imani nae saana. Isak anaweza akaelekezwa na akatufaa pia.Watu wanamtaka Isak Arsenal.
Ila jamaa anacheza vizuri kwenye counter.
Arsenal tunachezewa sana low block.
Sidhani kama atashine kama watu tunavyohisi, unless achezeshwe kama Kai. Ana skills na nguvu, anaslip kufanya runs.
Timu had Babu Jorginho kaanza lazima mfe kibudu leo