πππ kuna mtu jana kanicheka mpk nimempa blockJiran maumivu ni makali, huyu Unai Emery amekuwa mfupa mgumu sana kwetu. Hii arsenal imenirudisha kwenye pombe, jana usingizi niliupata kwa shida sana.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kuna kale kamsemo kao wakati ligi inaanza wanasema "Tunaenda kudominate league miaka 10+ consecutively"A part from "tunabeba EPL this season" ni jokes gani umewai sikia fan wa Arsenal akisema[emoji1787][emoji1787]View attachment 2964298
Tunaoteseka ni sisi mashabikiπππ kuna mtu jana kanicheka mpk nimempa block
Labda Arteta ni mzuri sana akiwa kama kocha msaidizi.Daah. Aisee mmetuandama sana [emoji1][emoji1][emoji1]
Anyway. Mimi yangu ni hii hapa...
"Arteta alimfundisha Pep mambo kibao tu kwenye mpira." Ingawa hii ni fact na siyo joke.
Bado mtaendelea kula vipondo mpaka akili iwakae vizuri ninyi yatima wa Wengertimu yako ni ya ngapi kwenye msimamo wa ligi
yani sisi jana tumefungwa ndo tukate tamaa ya kutwaa taji
Huyo kiwete wenu ,Kai Havertz kufunga hatrick labda awafunge Madongo kuinuka Fc ,sio ChelseaWale West Ham wametupiga pesa aisee. Na Chelsea kwa Kai pia wametupiga. Dawa yao inachemka. Tutahakikisha Kai mwenyewe anawapiga hat-trick wale kenge
Yanakidomodomo sana haya mashabiki ya ArsenyetozAs long as arsenali habebi mimi nipo tayari city abebe hata miaka kumi mfululizo. Ibebe timu yoyote epl lakini siyo arsenali.
Mchambuzi nguli sijawasiliana nae kitambo kidogo ila namuona Sana online, means that yupo okey.[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Una habari zozote za boss wako Masingeli?
Ila humu jukwaani hakuna mtu mwenye machale kumshinda Masingeli, ukiona Masingeli siku moja au mbili kabla ya mechi na matchday inafika hajapost chochote humu tambua kua Masingeli kashanusa harufu ya kipigo.
Hivyo nyinyi chawa wake mnatakiwa mlistukie hilo mapema sana kabla ya kuanza kuropokwa humu[emoji16][emoji16][emoji16]View attachment 2964302
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Duuh!!! Na hamu ya kucheki kitu kinaitwa mpira ndo imeishia hapa Kwa msimu wa 23/24
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Duuh!!! Na hamu ya kucheki kitu kinaitwa mpira ndo imeishia hapa Kwa msimu wa 23/24
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]hapa hamis77 ndo tuonane msimu ujao jamaa ndo anaenda kupotea jumla.View attachment 2963725
Huwezi kuw unasaka matokeo una kai
Kwanza kuna cross ilipigwa yaani ule mpira ni kimo chake, hatimae akaruka kama chura.
.
Mipira mingine mpaka naisahau.
Kacheza LCM lakini ni yupo yupo tu kama mfanyakazi hewa , ye ni kuzuia mpira na kupasia kamaliza,
.
ππππππ ngoja tufukue makaburiAston villa anakufa mkono Leo, akileta za kupishana anakufa wiki
Kule kwa akina Hitler mutaenda kupakuliwa haswa πππArteta anakuambia kama hii loss moja itatuzuia kuinuka na kupambana then hatukustahili kua mabingwa from the beginning.
Hapa ishu siyo sisi. Ishu ni aliye juu yetu.
Atagrant same favour ya kupoteza game kizembe?
Dafuq did we do?
Bayern nao waseme ok hatupo kwenye ligi tunafocus na CL. Mbona tunarudia same mistakes?
Punda kabisa
Hujambo ndugu yangu Bwana tembo[emoji16]Kwenye hili Kocha bado ana cha kujifunza