Arsenal (The Gunners) | Special Thread

timu yako ni ya ngapi kwenye msimamo wa ligi
yani sisi jana tumefungwa ndo tukate tamaa ya kutwaa taji
 
Na nyie city mjikaze kwenye GD hapo ukipigwa au draw game mmoja Arsenal ashinde yake mtaamuliwa kwa GD au H2H

Man city played 33 games points 73 GD 44
Arsenal played 33 games points 71 GD 49

japo mna advantage ya easy fixtures zaidi yao ila bado anything can happen in football maana tunajua lazima mfe kwa spurs

huku tunawapiga spana Arsenal haimaanishi washatoka kwenye epl candidate hapana tunawapa ka reality na composure ya kutafakari ni jinsi gani wata amka na deal na mechi zao more matured kisha wawepo na points nyingi za kupambana na nyie
 
UKo sahihi mkuu. Hamisi sijui yuko wapi?
 
Hii tabia ya Hamis kujificha umefungwa mechi moja tu haikubaliki kabisa ,Hamis nakukumbusha tu Isak na Jesus unakwenda na naniπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hamisi ananiangusha sana. Fresh lakini namuelewa.
 
point ya msingi hii.
 
Hii ndio asenali sasa haina vitu vipya sana kama unatarajia asenali kubeba kombe na ukasahau asili ya timu n kujilisha upepo tuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.....

Hii ndio kwaheri ya kuonana ikitokea siti ajichanganye basi n kwa uchacheeee sanaaaaaa kiufupi asenali ndio msimu umeisha
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…