We jamaa mnafk, wamempiga Astonvilla kono la nyaniHahahahaha em nambieni nini kimetokea wakulungwa
Spana zitembee wakuu.
Spaba zinembee
Flano ongeza kuni hapa hizi kenge zisilale leo ikibidi tupeane shifti ya lindo.
😁😁😁😁😁😁kwa mpira uliochezwa Jana, mwasiti vs Kenge
Waungane watengeneze timu moja waje Emirates au tuwafate
Wakitufunga kila mmoja (Kenge na mwasiti) wapewe points 3
Tukiwafunga tuchukue points 6
Ni swala la kuokoa muda, mambo ni mengi
View attachment 2907973
🤣🤣🤣🤣Tunawajua kama tumewazaa vile.Mpige team zote hata 20-0 lakin at the end lazma tuone hizi pichaView attachment 2911178View attachment 2911179View attachment 2911181
Mkiambiwa nyie ni kondoo huwa mnabisha, sasa unataka Emiry agombee ubingwa na Aston Villa?! Hata ukimpa Pep A.vila hawezi kutoboa.Uzuri upi huo unazungumzia, labda kuwafunga Arsenal. angekuwa tactician mzuri sidhani kama angeruhusu gape kubwa la points na walio juu. Ni midterm kocha tu kama wengine.. Na nafikiri Arsenal walichukua maamuzi sahihi kabisa kuachana nae kwasababu hakukuwa na falsafa yoyote aliyokuwa amepandikiza kwenye timu.. Pengine kufukuzwa Arsenal kulimfanya ku reevaluate carrier yake zaidi.
utakuja kunielewa siku huko kwenye thread ya man utd anajulikana kama shabiki wa man utd ndio maana utani na kina ally pipi flano arv na wenzie huko hauwastui anapiga spana uko kwa 7hag lakin mwisho anakimbia mwenyew tunamjua ni FamiliaMtake radhi mchambuzi nguli
Ajari kazini tu mkuu
ila wakina flano arv wanamjua hamiss 77 ni damu yao ya united sema analeta ushindani mzuri na upinzani na ndio maana anaumia sana ubovu wa man utd na kufungwa kwake na kocha wao ni mzuri kutoa kasoro kwa kwa man utd kuliko arsenal
we jiulize ni shabiki gani anaona mazur ya timu tu na wala haoni mistakes na kipindi cha mpito kama hichi anakula kona na akisa ubingwa ndo humuoni mazima mpaka msimu ujao
Kuna wahuni wa Arsenyo walikua wanaangalia pamoja na Masingeli mpira kwenye kibanda umiza, baada ya game kuisha wamemkuta Masingeli amejifungia chooni anacheka mpaka kakaa chini.
Nasikia jamaa wapiga kama vile wanapiga mwizi, hivyo msitegemee kumuona Masingeli humu ndani ya hizi siku mbili tatu maana hali yake sio poaView attachment 2963946
Kwani tunahitaji pass ngapi ndani ya box ndiyo tushoot?
Sisi tumepigiwa mashoot mengi na hata hatuwazi yani😂😂Masingeli ndio anajua vizuri takwimu, atakuja kujisifu humu kwa kuingia kwenye box la Villa mara nyingi kuliko Attempts za United za msimu mzima