Jamaa sijui kwa nini alimuachia Tielemans aupate ule mpiraToa Zinc. Ameshakata upepo
Nahisi kalitaka kumpiga toboJamaa sijui kwa nini alimuachia Tielemans aupate ule mpira
Tumemfurahia sana. Sasa ni zamu yetuGrant kaondoka timu lenye nuksi leo anabeba ndooo uku
jitahidi jitahidi sana.Tunajitahidi ila hatujatulia mkuu. Ila huyu Villa lazima tumuue.