Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Ni
Haya hamkusema kabla ya game
Katafute comments zangu za nyuma, mie na kai ni mafuta na maji, kwangu nasema HAJUI MPIRA. sio mara moja wala mara ya pili, naweza kulisemahili na tena akiwa kawafunga timu kama luton nawenzie, naweza kuyasema haya hata kai akiwa man of the match.
 
ngoja Masingeli akusikie unamnanga Kai, atakuja na furushi la takwimu za aerial duel huku akipata support ya kutosha kutoka kwa chawa zake hizi 2 mkorea na arsenal2004 lazima wakupe cheo cha mamluki.
Nadhani yeye anajua mie simkubali kai, siku hizi hahangaiki na kunijibu hili, nami nishamuelewa anampenda kai so akiwa anamsifia kwenye comments zake huwa napita bika kumkohoa na kama kaandika ambacho kinaingia akilini mwangu na like anapata.
 
Bayern wachovu ila nikikumbuka matokeo ya Lille na Porto yote away,nasikitika kusema kwenye mashindano haya imani mmeilinda mwendo mmeumaliza.Mpumzike kwa amani na kuweka nguvu Epl.Niliwapa hawala yangu ya fedha mmepita nayo😂😂😂😂
 
Kama humpendi. Huwa unajipanga kuangalia makosa yake zaidi kuliko y kiufundi... kwa hiyo asingeanza kwa sababu humpendi siyo
 
Mpira bado unachezwa kwa record sio.
 
Gabriel Jesus anaweza asiwe Lethal anapotaka kufunga lakini Arteta lazima ajue Arsenal haina mchezaji mbele anayeweza ku offer uwezo aliokuwa nao Gabriel Jesus.. Kai Havertz ahead of Gabriel Jesus is Hell No... Arteta tusidanganyane kwa hili. Creativity na flexibility ya Gabriel Jesus ni ya hali ya juu sana. Na mechi kama ya jana ni aina ya mechi kuna muda zinaamuliwa na uwezo wa mchezaji mwenyewe na si timu zaidi.. Angalia goli alilofunga saka ni maamuzi ya haraka sana yanahitajika pia angalia kazi aliyofanya Jesus kutengeneza goli la pili. Watu wanaweza kumtetea Kai Havertz kutokana hivi karibuni amekuwa na consistent ya kufunga lakini ukiacha mahaba sana jamaa ana makosa mengi sana na anainyima timu Flexibility kule mbele. Na mechi kama hizi ukikutana na wanaojua soka ndio uhalisia wa mtu hujionyesha.
 
Ni ukweli usiopingika Jesus ni mchezaji mwenye uwezo mkubwa sana ila naweza sema kuna muda hana bahati.
 
Tatizo la Jesus ana percent fulan ya selfish Ila akiondoa ubinafs kama alivyofanya Jana kuna magoli mengi Sana pale mbele
 
Mechi kama hizi KAI ndio anauzoefu kuliko Gabriel maana alifunga goli pekee la ushindi usiku wa fainali za ulaya na kunyanyua kwapa pale master technician wa mechi za mitoano tuchel alipokuwa na the blues,Kai mmoja ni gabriel 13 twakwimu hazidanganyi.Shida ya hii mechi sio ubovu wa buyern ni tuchel ,kuingia fainal uefa mara 1 na kuchukua mara mmoja sio kazi rahisi muulize clopp wa majogoo atakwambia.
 
Wewe jamaa unaposema 'Kai mmoja ni sawa na Gabriel 13' unaongea ukiwa umelewa au una akili zako timamu?
 
Wewe jamaa unaposema 'Kai mmoja ni sawa na Gabriel 13' unaongea ukiwa umelewa au una akili zako timamu?
Akili timamu kabisa ukimuweka Kai namba false nine atakupa goli angalau 13 ,Gabriel atakupa goli sita na mikimbio kocha wa arsenal sio mjinga .
 
Kai Havertz kwangu afunge magoli muhimu au asifunge still sio mchezaji wa kuanza mbele ya Gabriel Jesus. No fuckin way!

And so sad Arteta halioni hilo kwa kuwa he's so dumb and deaf, hataki kusikia chochote kuhusu Kai, kaweza kum sacrifice Martinelli kwa kumtoa mapema ila sio Kai. Alikuwa na ubora gani wa kucheza all 85 minutes?

I can't pretend this, kwangu pia Kai ni big NO!

Nitarudia huu msemo wangu anytime, if we want to win at Allianz in the 2nd leg, Kai should be on the bench first. Then we can talk football, otherwise Arteta akishindwa kuliona hili atakua hana tofauti na Ten Hag.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…