Mm Leo hata kazini sijaenda ,nasubiri baadae Kuna Banda wanaweka mechi zote 2


Na hamiss una presha sijui leo.Arsenal winVipi wakubwa tuwabetiaje leo?
tupeni Prediction

Partey tu awepo, huko kwingine Arteta apange kivyovyote vileArteta akianza hivi itakuwa unyama sana
Raya, White, Saliba, Gabriel, Tomi, Partey, Odegaard, Rice, Saka, Havertz, Martinelli
Safi, tuchel anaongea uhalisia| Thomas Tuchel kuhusu Kai Havertz
Kai alifunga moja ya mabao muhimu katika maisha yangu ya ukocha [fainali ya UCL ya Chelsea]. Yeye ni mtu mkubwa. Nimefurahiya kuwa anapata pongezi hapa anazostahili. Tunahitaji kumwangalia. Tuna wachezaji wachache ambao wanamfahamu vyema

Arsenal win and over 1.5Vipi wakubwa tuwabetiaje leo?
tupeni Prediction
bangPartey yuko tayari kuanza kweli?Arteta akianza hivi itakuwa unyama sana
Raya, White, Saliba, Gabriel, Tomi, Partey, Odegaard, Rice, Saka, Havertz, Martinelli
Yupo fit ,mechi na Luton aliuwasha sana pale kati, pass after pass za ku break linesPartey yuko tayari kuanza kweli?
Hajacheza muda mrefu consistently. Asije akakata pumzi dk 35 😁. Ningependa aanze mbele ya Jorginho kwa sababu Jorginho wanaweza kumzingira akashindwa kufanya maajabu yake ila Partey naona ni mjanja mjanja hata akizingirwa huwa anawaponyoka wapinzani. Arteta alisema kwenye presser kuwa anamkubali sana Partey na hana mpango wa kumwachia.Yupo fit ,mechi na Luton aliuwasha sana pale kati, pass after pass za ku break lines
Leo tunaanza na forward Nketiqh🤠🤠Hajacheza muda mrefu consistently. Asije akakata pumzi dk 35 😁. Ningependa aanze mbele ya Jorginho kwa sababu Jorginho wanaweza kumzingira akashindwa kufanya maajabu yake ila Partey naona ni mjanja mjanja hata akizingirwa huwa anawaponyoka wapinzani. Arteta alisema kwenye presser kuwa anamkubali sana Partey na hana mpango wa kumwachia.
Mnafikir Bayern ni Luton? Mnaongea as if mnaenda kucheza na Luton, eti "wakija tuwapge then kwao 2karelax" nyie kweli kondoo.Mnaanza kuwaponza wenzenu🤠🤠...tulishasema hili neno msilitumie huwa linawaweka wenzenu kwny matatizo hamtaki kusikia
Arteta atakuwa ametuchoka akifanya hivyo 😀Leo tunaanza na forward Nketiqh🤠🤠
Wewe jamaa huwa unaumia sana na mafanikio yetu. Msimu huu utaumia zaidi.pigaaa haoooo Arsenal
Arteta atakuwa ametuchoka akifanya hivyo 😀Leo tunaanza na forward Nketiqh🤠🤠
Subiria kesho mnacheza mkuu na mtqshinda🤠🤠🤠...Enzo na Caicedo watapiga mpira mkubwa sanaMnafikir Bayern ni Luton? Mnaongea as if mnaenda kucheza na Luton, eti "wakija tuwapge then kwao 2karelax" nyie kweli kondoo.