Hizo za klopp ni mind games tuuAmbacho watu hawajui
Ratiba inakuwa ngumu kutokana na timu yako ilivyo
Swali nani ana enjoy kukutana na Arsenal sasa?
Liverpool asingedondosha point Jana ,na uhakika angedondosha hapo mbele tu, why ,wanaruhusu sana nafasi
Naangalia Ratiba yetu na hao tunaocheza nao wanavyocheza ,kiuhalisia hakuna mgumu hapo ,Tena ukitanguliwa na Arsenal ,wewe fungasha virago tu ,
Liverpool ana mechi 3 mfululizo za away,
Mechi yetu ambayo wachezaji wanatakiwa kujitoa kama kawaida kuhakiksha tunashinda ni Vs Spurs
Mechi mbili ambazo zinasemwa ngumu ni vs Chelsea , Astonvilla zitakuwa Emirates
Chelsea amezidi kuwa ovyo sana kwenye defence hana tofaut na man u
Man u yeye ni dhaifu sana ,ndio maana klopp hiyo mechi imemuuma sana akasema kama ni Arsenal ana uhakika 100% watashinda ,
Maana anajua Arsenal tukishaongoza hata moja halafu tunataka matokeo basi kazi imeisha ,
Chelsea Jana amekuwa outplayed na Sheffield united, Chelsea pale Emirates hawezi kuzuia asipigwe
Astonvilla anakuja bila Douglas Luiz na Kamara , wanakuja wakiwa na midfield dhaifu
Mwisho tunaiona mechi muhimu ambayo tutatakiwa kujitoa sana ni vs Spurs
Ratiba inakuwa ngumu kutokana na timu yako ipoje
Kwasasa Mancity ndiye mwenye ratiba nyepesi , anafata Arsenal ,mwisho Liverpool,
Liverpool zile mechi 3 za away atadondosha point tu
Kiuhalisia ,Klopp kachezea shilling chooniHizo za klopp ni mind games tuu
Kafungwa FA mkasema atashinda game ya league kiko wap
[emoji817]Ambacho watu hawajui
Ratiba inakuwa ngumu kutokana na timu yako ilivyo
Swali nani ana enjoy kukutana na Arsenal sasa?
Liverpool asingedondosha point Jana ,na uhakika angedondosha hapo mbele tu, why ,wanaruhusu sana nafasi
Naangalia Ratiba yetu na hao tunaocheza nao wanavyocheza ,kiuhalisia hakuna mgumu hapo ,Tena ukitanguliwa na Arsenal ,wewe fungasha virago tu ,
Liverpool ana mechi 3 mfululizo za away,
Mechi yetu ambayo wachezaji wanatakiwa kujitoa kama kawaida kuhakiksha tunashinda ni Vs Spurs
Mechi mbili ambazo zinasemwa ngumu ni vs Chelsea , Astonvilla zitakuwa Emirates
Chelsea amezidi kuwa ovyo sana kwenye defence hana tofaut na man u
Man u yeye ni dhaifu sana ,ndio maana klopp hiyo mechi imemuuma sana akasema kama ni Arsenal ana uhakika 100% watashinda ,
Maana anajua Arsenal tukishaongoza hata moja halafu tunataka matokeo basi kazi imeisha ,
Chelsea Jana amekuwa outplayed na Sheffield united, Chelsea pale Emirates hawezi kuzuia asipigwe
Astonvilla anakuja bila Douglas Luiz na Kamara , wanakuja wakiwa na midfield dhaifu
Mwisho tunaiona mechi muhimu ambayo tutatakiwa kujitoa sana ni vs Spurs
Ratiba inakuwa ngumu kutokana na timu yako ipoje
Kwasasa Mancity ndiye mwenye ratiba nyepesi , anafata Arsenal ,mwisho Liverpool,
Liverpool zile mechi 3 za away atadondosha point tu
Tutadondosha point kama United ni ya Ferguson. Ila kwa Utd hii ya baba ubaya kuna hatihati ya kutangazia ubingwa hapo Old Trafford.old trafford lazima udondoshe point
Mi nimekuelewa vzr san kai angekuwa mwepesi kuturn kam alivyo watkins au isack angekuwa hashikiki yule mtoto ila ndo hivo mungu hakupi vyoteMie naweza kukuelewa lakini we huwezi nielewa mimi.
Hakuna sehemu nimekosoa movements zake, kwenye movements anajitahidi.
Rudia kusoma tena comment yangu, unaweza rekebisha reply yako kama ukitaka.
Point tulizopoteza kwa fulham, saka kutuchoma, kisha Totteham,kisha chelsea, halafu tukafa nyumbani goli 2 mtungi na westham,hizi ni game ambazo leo hii zingetuweka mbali kidogo, ila ndio mchezo wa wanadamu lazima makosa yawepo.First leg aliyetuchomesha kwa spurs ni Jorginho.
Spurs wanafanya high line pressing. Ambayo inasababisha waconcede easily shida ni kwamba wao pia wanaweza kuscore vizuri pia.
Huyu spurs ni mtani wa jadi hakuna namna ataridhika tumfanye jiwe kuelekea ubingwa, yeye na kenge watafosi sana kutuzuia.
Kenge ni wabovu but tulivyocheza nao walikomaa mwanzo mpaka mwisho wa mchezo.
Tusimalize maneno
Mabadiliko ya ukuaji yanaenda mpaka miaka 23 baada ya hapo ni nadra sana mtu kuwa na mabadiliko ya ukuaji japo inaweza kutokeaPoint of correction.. hapo kwenye kurefuka, mtu anamaliza kurefuka anapofikia umri wa miaka 18 kwa mwanaume, kwa mwanamke may be earlier than that
Mkuu uko sahihi lkn hakuna limitation kwamba ukifika 18 basi huwezi tena kuwa na mabadiliko ya ukuaji ila inasemekana kwamba watu wengi mabadiliko ya ukuaji hukoma baada ya 23 yrs japo pia inaweza kuvuka kutegemea na mtu. Ukija na hoja ya physiological growth of bones huwezi acha kitu muhimu ambacho hormones of growth. Kwahiyo alichosema kwa Kai inaweza kuwa ni sahihi kama kajiridhisha na taarifa zake.Sisemi tu kwa kuwa nimesema, that's the physiology of bone growth. So sijui hizo details unazitoa wapi but ninachojua normally mifupa (epiphysial plates) inaunga mtu anapofika miaka 18 so ukuaji kwa urefu una sieze hapo, otherwise kuwe na delay ya bone fusion.
Sikumbuki Wenger orphans kuchukua point Old Trafford ilikuwa mwaka gani siku iyo hamta amini aise.Ambacho watu hawajui
Ratiba inakuwa ngumu kutokana na timu yako ilivyo
Swali nani ana enjoy kukutana na Arsenal sasa?
Liverpool asingedondosha point Jana ,na uhakika angedondosha hapo mbele tu, why ,wanaruhusu sana nafasi
Naangalia Ratiba yetu na hao tunaocheza nao wanavyocheza ,kiuhalisia hakuna mgumu hapo ,Tena ukitanguliwa na Arsenal ,wewe fungasha virago tu ,
Liverpool ana mechi 3 mfululizo za away,
Mechi yetu ambayo wachezaji wanatakiwa kujitoa kama kawaida kuhakiksha tunashinda ni Vs Spurs
Mechi mbili ambazo zinasemwa ngumu ni vs Chelsea , Astonvilla zitakuwa Emirates
Chelsea amezidi kuwa ovyo sana kwenye defence hana tofaut na man u
Man u yeye ni dhaifu sana ,ndio maana klopp hiyo mechi imemuuma sana akasema kama ni Arsenal ana uhakika 100% watashinda ,
Maana anajua Arsenal tukishaongoza hata moja halafu tunataka matokeo basi kazi imeisha ,
Chelsea Jana amekuwa outplayed na Sheffield united, Chelsea pale Emirates hawezi kuzuia asipigwe
Astonvilla anakuja bila Douglas Luiz na Kamara , wanakuja wakiwa na midfield dhaifu
Mwisho tunaiona mechi muhimu ambayo tutatakiwa kujitoa sana ni vs Spurs
Ratiba inakuwa ngumu kutokana na timu yako ipoje
Kwasasa Mancity ndiye mwenye ratiba nyepesi , anafata Arsenal ,mwisho Liverpool,
Liverpool zile mechi 3 za away atadondosha point tu
Game itakuwa ngumu.Bayernโs predicted line-up vs Arsenal. [@kicker]View attachment 2957086
Haahahaha we jamaa banaMechi ya kesho
Bayern Wana uoga sana , nilikuwa nafanya debate na wajerumani Jana
Wamekata tamaa sana