Nicorandil
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 268
- 760
Kwa watu wengi, miaka 18 to 21 growth plates zinakoma. Lakini Physiology hiyo hiyo, inatwambia it is "NOT UNLIKELY" kwa baadhi ya watu, kuendelea kukua.Sisemi tu kwa kuwa nimesema, that's the physiology of bone growth. So sijui hizo details unazitoa wapi but ninachojua normally mifupa (epiphysial plates) inaunga mtu anapofika miaka 18 so ukuaji kwa urefu una sieze hapo, otherwise kuwe na delay ya bone fusion.
Kuna jamaa wa Liver nilikua namuambia kabla ya kipindi cha kwanza kuisha zile nafasi walizokosa Liver kipindi cha kwanza yan zile nafasi ni 6 magoli 4, nafasi zile Trousard hawez kukuacha wazee Nell hakuachi piaKlopp on United-Arsenal:
"If they play like they did today, [Arsenal] win that game. Sorry."
Kaka nitumie screenshot ya msimamoEnewey nawakumbusha kuscreenshot msimamo
unatakiwa uwe unajua sana movement za mpira na kazi za mchezaji uwanjani ili utambue kuwa kwa sasa pale mbele arsenal front three kai ndio mchezaji bora zaidi,bila yeye tungekuwa tuna mbele mbwelaKi
Kifupi ubovu wa kai unafichwa na matokeo ya arsenal.
Kai ana matatizo mengi kuliko mazuri yake.
unatakiwa uwe unajua sana movement za mpira na kazi za mchezaji uwanjani ili utambue kuwa kwa sasa pale mbele arsenal front three kai ndio mchezaji bora zaidi,bila yeye tungekuwa tuna mbele mbwela
old trafford lazima udondoshe pointManjesta ni timu mbovu sana ,
Jürgen Klopp:
"Arsenal is a good football team. If they (Man Utd) play like they did today they (Arsenal) will win the game. I am 100% sure of that." @sistoney67
Sio kwa timu mbovu kama manjesta,old trafford lazima udondoshe point
Nendeni kilingeni kqbisa mkaloge...tukishakutqngulia goli hilo halirudi...case study City na Brighton...hawa wanafanya build up vzuri ila mmoja mchezaji wao bwana Akanji alalamika kabisa kwmba hawa wanacheza mpira wa kihuni🤣🤣..na jana yule kocha wa Brighton akasema si aibu kufungwa na Arsenal maana wanakaba roba za mbao hawa jamaa....sasa nyiny mashabiki maandazi endeleeni na ramli....mechi ngumu ni Spurs...hawa mafala tukiwabonda...ubingwa muusahauArsenal mkitoka na point 9 Kwa hizi game + game za UEFA basi PL Ni yenu...
Against spurs
Against Chelsea
Against man utd ..
Kudadeki hapa lazima point zidondoke ,kwa kupenda au kutokupenda ....Ni swala la muda tu
Bora useme spurs ila hawa man u tutawapiga vibaya palepale natofalini hatutaki ujinga kwa timu zenye makocha wa day wakaold trafford lazima udondoshe point
Mwisho wa yote 2 - 2Hivi vitu tusichukulie kiwepesi.
Inakuja timu unaipiga 6 bila mwenzako yupo nayo 1 - 1