Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Sio mchezo!
Kweli mpira ni addiction, na kama ni mpenzi wa Arsenal? Basi wewe hata kukaa haiwezekani, karoho kako juu mno!

Natumaini mli enjoy game kama mie.

NEXT?!

Hiyo next wala sitaki kuifikiria kwa leo nikifikiria difensi yetu hii ya kuunga-unga na nikimuangalia Mr. Misifa Adebayor nafikiri Spurs watatusumbua sana.
Yaani leo tumeshinda lakini tumecheza ovyo kidogo yaani tulikuwa tunapoteza possesion kijinga ila sema wapinzani wenyewe nao walikuwa siwo na pengine kwa vile Prof. alikuwa juu.
Tunahitaji kuwa makini sana J'pili.
 
Mkubwa "Kweli"

Wameshatutabiria hatushindi EPL, CL, Cling Cup wala FA cup.

What have we got to loose?

Bring them on, tutatizama hivyo hivyo na mioyo yetu yakudunda, tukifungwa poa, tukishinda ndio itaimarisha confindence ya vijana wetu!
 
Nnimesikia Pundit mmoja na mtangazaji anasema defence ya arsenal iko kama greek economy. Je ni kweli the gunners wenzangu. Hiyo greek economy ikoje ?

hao ni watu wenye chuki binafsi na gooners hata huu ushindi wetu lazima wataongea pumba tu. lile bao tatizo sio beki jamaa walipiga kona ya harakaharaka huwezi kulaumu beki
 
Wanoko wote leo wameunyuti, khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee safi sana ....vvv....v.....v...
 
but imefika kipindi yule mkorea achukue nafasi ya chamark ... maana anaruka ruka tu pale mbele
 
Ahahahaah,kweli mkuu humpendi chamakh,unamchukulia kama swala vile anarukaruka vichaka!
 
Hiyo next wala sitaki kuifikiria kwa leo nikifikiria difensi yetu hii ya kuunga-unga na nikimuangalia Mr. Misifa Adebayor nafikiri Spurs watatusumbua sana.
Yaani leo tumeshinda lakini tumecheza ovyo kidogo yaani tulikuwa tunapoteza possesion kijinga ila sema wapinzani wenyewe nao walikuwa siwo na pengine kwa vile Prof. alikuwa juu.
Tunahitaji kuwa makini sana J'pili.

It's refreshing to read such comments from a true Arsenal fan. Ingekuwa imetoka kwa non-Arsenal fan ungesikia plastic Arsenal fans wakisema "haters".
Hongereni kwa ushindi.
 
Hahahahaaaaaa.....Tatizo kule kwako huwa haupo.......The qn is r u a TRUE BLUES FAN??????????????? Tend to stay at home.........Au vp???
 
Hiyo next wala sitaki kuifikiria kwa leo nikifikiria difensi yetu hii ya kuunga-unga na nikimuangalia Mr. Misifa Adebayor nafikiri Spurs watatusumbua sana.
Yaani leo tumeshinda lakini tumecheza ovyo kidogo yaani tulikuwa tunapoteza possesion kijinga ila sema wapinzani wenyewe nao walikuwa siwo na pengine kwa vile Prof. alikuwa juu.
Tunahitaji kuwa makini sana J'pili.

Ingekua Chelsea au Man U kashinda kwa 1:0 au kwaio 2:1, watu wangesema eti wale ndio wanajua kushinda ugly, sie tumeshinda, hio ndio namba one, swala hatukucheza vizuri au kupoteza pasi hio ni kawaida ya mpira, huu mchezo ulikua mgumu, Man U (tena nyumbani) na Chelsea wame draw, ni Arsenal peke ilioshinda.
Sometimes binadamu tunajiweka chini na kujichunguza mno, there is no perfection in football,especially CL. Unakutana na kila timu iliokua na merit ya kuwa pale.
Enjoy the win, look forward, kwa sasa ushindi wa aina yoyote unapokelewa kwa mikono 2 hapo Emirates au ugenini.
Its time kuacha kuwaamini wachawi na wanaotuponda,eti hatuna defenzse, midfielders au strikers, tuko proud na timu yetu, ndio iko hivyo.
Be confident and content, the rest, leave it to AW!
 
Hahahahaaaaaa.....Tatizo kule kwako huwa haupo.......The qn is r u a TRUE BLUES FAN??????????????? Tend to stay at home.........Au vp???

hahahaha!! Nimejaa tele kule Darajani ambako wewe na Wacha mnashinda mkipost, tatizo liko wapi hapo?! Yaani wewe una right ya kupost kwenye jukwaa la Blues lakini mimi sina right ya kupost hapa kwenye jukwaa lenu la Arsenil?!! Umeanza lini UNAFIKI mkuu?!! Hapa kwenye jamvi lenu nitakuja sana kama ninyi mnavyokuja kule kwenye jukwaa la Blues, ndio maana ya open forum....nafurahi kuona dosage ninayowapa inafanya kazi vizuri, I have a good reason to keep under the same prescription.
 
but imefika kipindi yule mkorea achukue nafasi ya chamark ... maana anaruka ruka tu pale mbele
Nashangaa wenger kamsajili huyu mkorea kwa ajili ya nini. Chamakh pale ni sawa tu na gogo lilowekwa uwanjani. Hana threat yoyote kwa mabeki wa timu pinzani.
 
anambania kweli huyu Mkorea.,labda kwenye mazoezi haperform fresh.
 
Inatakiwa ampe nafasi..si unaona juzi Oxlade alichofanya? Halafu baada ya game babu anadai hataki kumuweka dogo kwenye presha ya EPL, anasubiri akomae kwanza!
Mi naona kama Wenger akili ya mpira imeshaanza kumtoka!
 
kweli kabisa hata mimi sitaki kuamini kuwa chamakh ni mzuri kuliko Park..lets hope ataanza kumpanga mechi zijazo.
 
Back
Top Bottom