Rejao
JF-Expert Member
- May 4, 2010
- 9,219
- 4,085
Hahah..utabaki tu na maumivu!Kwann nisiwapenda na vituko vyenu?, toothless dogs nyie..
Leo niko na nyie wahuni mwanzo mwisho.
Tumesharudi..
Hahah..utabaki tu na maumivu!Kwann nisiwapenda na vituko vyenu?, toothless dogs nyie..
Leo niko na nyie wahuni mwanzo mwisho.
Asenool fans JF wamekimbia wooote kuogopa kichapo.
welcome to White Hart Lane....so who is the Lord of North London, we're about to know.
Tupo, kwa kuonekana na ki "anonymous"!
Angalieni manguli msije mkakimbia nyie! Sie tuko calm kabisa!
Hata mioyo haitudundi wala nini!
Acha unaa bana.........
Arsenal Team in full: Szczesny, Sagna, Mertesacker, Song, Gibbs, Coquelin, Arteta, Ramsey, Walcott,Gervinho, Van Persie.
Substitutes: Fabianski, Jenkinson, Andre Santos, Frimpong, Benayoun, Arshavin, Park.
Bala is always here.................So is Wacha1Dalili za uoga hizo, come out and be counted! Unakuwa kama coward Wacha!
Dalili za uoga hizo, come out and be counted! Unakuwa kama coward Wacha!
Bala is always here.................So is Wacha1
Binafsi niko tayari kwa lolote kama ilivyo kwa CCM kule Igunga......Mkuu hapa tusikilizie kama tunachomoka au la...naona yahoo wanasema we are weaker than Spurs
Bala is always here.................So is Wacha1
Huwa analowa mpaka anatia huruma.......Anapotea(ga) kabisa jamvini.......Ukishinda huwa unakua Mwingi sana.....hahahahahahaaaaa.....mambo vp PISS- ANT????