Hawa Olympiacos wanaonekana kuwa wakali, hawata2chapa kweli?
Ni kwamba mamilioni ya euro yanamiminwa kuinua huo uchumi lakini hakuna dalili ya kuinuka.Nnimesikia Pundit mmoja na mtangazaji anasema defence ya arsenal iko kama greek economy. Je ni kweli the gunners wenzangu. Hiyo greek economy ikoje ?
Ni kwamba mamilioni ya euro yanamiminwa kuinua huo uchumi lakini hakuna dalili ya kuinuka.
Dah!! Inawezekana kweli.Nnimesikia Pundit mmoja na mtangazaji anasema defence ya arsenal iko kama greek economy. Je ni kweli the gunners wenzangu. Hiyo greek economy ikoje ?
Dah!! Inawezekana kweli.
Inakuaje wadau????? Naona tunaongoza.....Najipa Hongera mie mwenyewe nayi pia.....hata Haterz hongereni kwa kuwa pamoja nasi....
Mkuu huu ushidi wa 2-1 kwa sasa mfinyu sana ila so far so good