Smith Rowe
JF-Expert Member
- Sep 18, 2018
- 4,511
- 9,562
ningekuwa mchezaji ningehama zamani sana.Kaka si uhamie site tu kwenye makombe ya nini kutafuta maumivu uku ganaz 🤣🤣🤣
ningekuwa mchezaji ningehama zamani sana.Kaka si uhamie site tu kwenye makombe ya nini kutafuta maumivu uku ganaz 🤣🤣🤣
hivo vifaa walishakuwa navyo tangu zamaniHivi nyie mliokomenti miaka 18 iliyopita 2006+ mlikua mnatumia kifaa Gani simu au kompyuta?
Smartphone 2006 bongo?hivo vifaa walishakuwa navyo tangu zamani
sisi ndo bado tunajiona wajanja, wenzetu wanyamwezi longtime
😀😀 we kubali tu wenzetu walishakuwa nazoSmartphone 2006 bongo?
Duuuh!!! Hili bado linazungumziwa kumbe.Kai, kai, kai.. jwangu bado, anakosa sifa za kuwa namba 9. Bado ana makosa mengi, matokeo ya timu kiujumla yanaficha aibu zake.
Kwangu kai HAPANA.
Duuuh!!! Hili bado linazungumziwa kumbe.
Hujui tu kai siyo Namba 9 wetu..Nazungumzia mpira ninavyouona, ajabu nini mkuu?
Profile ya Kai as namba 9, ni tofauti na traditional namba 9. The likes of Osimnhen na wengine. Na ndo maana tunahusishwa na kusajili striker mwingine kwa ajili ya next season. Lakini, najua haya yote unayajua.Nazungumzia mpira ninavyouona, ajabu nini mkuu?