Camilo_Cienfuegos
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 11,378
- 15,396
Hivi vitoto vitatutia aibu, wanavichukulia poa! Subiri
Najua, hii haizui tusijadili boli, ni kawaida kusungumzia kitu kilichopo.Profile ya Kai as namba 9, ni tofauti na traditional namba 9. The likes of Osimnhen na wengine. Na ndo maana tunahusishwa na kusajili striker mwingine kwa ajili ya next season. Lakini, najua haya yote unayajua.
Lcm.Ni namba 3 au LCM?
Friends wengine hawa hapaFriends of Luton tumeweka kambi hapa leo mtaeleza
Nafikiri matokeo ndiyo yalimbeba/ yanambeba Grealish CityKai, kai, kai.. jwangu bado, anakosa sifa za kuwa namba 9. Bado ana makosa mengi, matokeo ya timu kiujumla yanaficha aibu zake.
Kwangu kai HAPANA.
Sawa sawa.Lcm.
Arteta aache kukariri. Kuna mechi za kashi kashi zinazomhitaji Kai, mfano wa mechi za City na Liverpool. Lakini game open kama hizi ambazo unategemea mpinzani awe anazuia muda mwingi, inapaswa uanze na natural 9.Kai, kai, kai.. jwangu bado, anakosa sifa za kuwa namba 9. Bado ana makosa mengi, matokeo ya timu kiujumla yanaficha aibu zake.
Kwangu kai HAPANA.
umemwona boya alivyoenda kichwakichwa akidhani nayeNi kweli Arsenal tulitoa blueprint ya kumstopisha City ila siyo kila timu ina Gabriel na Saliba
Akajaa kwenye mfumoumemwona boya alivyoenda kichwakichwa akidhani naye
kwenye timu yake wana gabriel,