Arsenal (The Gunners) | Special Thread

uko na very strong matured mind

Arsenal ni still yupo maturity stage kwenda kwenye take off stage ita mpelekea aweze ku overachieve au under archive kutokana na neno phase ila sio kwamba ni top kama city na Liverpool atafika hapo coz ndo anasuka kikos cha kwenda kusumbua epl in the next 4 , 5 years atakuwa dominant

starting from next year fans wanatarajia kuona improvement kwenye sector mbali mbali zinazowafanya wasiwe full lethal

1 top Quality striker wakumaliza most of the all chances created and missed currently

2 sio siri partey anaweza, kuwa departed na hilo litapelekea
arsenal wazame mfukoni waongezee kwenyw watakacho kipatata
walete Top Quality number 6 ( CDM )

3 Mengine mtaongezea kwenye hili la development phase
 
Mumeshascreenshot msimamo? Kama bado basi kila shabiki wa Arsenal afanye kuscreenshot msimamo ili kesho muda kama huu awe anaangalia na kusema "Jana tuliongoza Ligi".

Niliwahi kuwaambia kuscreenshot msimamo wakati munaongoza Ligi vipi mulitekeleza ushauri wangu?

Kama hamukufanya basi poleni sana mumeshachelewa.

 
Tungeamua iwe

Open play, inawezekana tusinge pata matokeo. Coach was righ kwenda na lowblock with surprisal offensive missions
mngefunguka kingewakuta kilicho wakuta madrid a complete total demolition nadhani arteta ame learn kitu from the previous
game ya 4-1 hapo Etihad na ndicho alicho ki implement leo

#discipline is everything in football
 

Yani mpira ungekuwa rahisi hivyo
 
Grealish alikaa almost a year hafungi wala kuassisst na pep alimuanzisha constantly. Palmer ni aina ya wachezaji unaowaona wazuri kutokana na mfumo.

Kwa leo possession haikua na impact kwao.
 
City, liver wametuchangia 4 points

Nyumbu ameshatubariki 3 points bado 3 points zingine. Hizi ni lazma azitapike

Spurs na Kenge wametuchania point 1 kwa kila mmoja hizo tatu zilizobaki watazitapika tu

 
City, liver wametuchangia 4 points

Nyumbu ameshatubariki 3 points bado 3 points zingine. Hizi ni lazma azitapike

Spurs na Kenge wametuchania point 1 kwa kila mmoja hizo tatu zilizobaki watazitapika tu

View attachment 2950337
Halafu tumemiss sana kupiga watu 5g. Hawa watatupa points zetu 3 kwa mtindo wetu pendwa wa 4g, 5g na kuendelea
 
na washauri mkusanye point mapema msije kutegemea pale kuondoka na point kuna timu za kutufunga pale ila sio nyie Wenger orphans.
Mechi ngumu tumemaliza leo...habari za Tano Tano zinaanza upya j5 hii...TAfuteni kocha wa kueleweka aisee...Yale matobo mnayoacha kati ya midfield na beki zenu tukikutana tusilaumiane🤠🤠
 
Nyny ni kuku mwnye kideri🤠🤠...Kila siku huwa nasema na nitasema tena...zaidi ya Counter hakuna mnachokicheza...mkidundwa gemu moja tu msahau kurudi pale juu...mechi ngumu tumemaliza leo...mkiwategemea kina Spurs sijui..kina Manunu au Brighton watuzuie mnajidanganya...biashara yetu ya kono la nyani inaanza upya j5...hata mkimaliza ligi mpo point sawa na sisi bado kombe mtaliota tu...
Yani mpira ungekuwa rahisi hivyo
 
Sema nini wazee hapa tutaambulia vumbi ,kumkimbiza Liverpool aliyejeruhiwa huko nyuma Kwa point 3 ,harafu bado game 9,inahitajika miujiza
Timu zote za juu zinaweza kudrop point(s) kwa yeyote. Na opponents waliobaki vs top 3 teams wanafanana fanana.

The title race is still on! 🍿
 
Halafu tumemiss sana kupiga watu 5g. Hawa watatupa points zetu 3 kwa mtindo wetu pendwa wa 4g, 5g na kuendelea
Msimu ilioisha gundu lilianza baada ya kudraw na Liverpool, mechi iliyofata mkadraw na Westham, halafu mkadraw tena na Southampton kisha mkaenda kogongwa na Mancity na ndio ukawa mwisho wa matumaini hewa.

Msimu huu naona mambo kama yanaenda kujirudia tena vilevile ila Opponents ndio tofauti, mmeanza kudraw na City halafu jumatano mko na Luton, anakuja Brighton, kisha Aston Villa, halafu kuna Chelsea na Spurs kisha msumari wa utosi mnaenda kugongelewa pale kiumeni kwenye matofali ya kuchoma.
Mateso bado yako palepale tu, yaani mpaka msemeeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…