Jorginho wana mpin wachezaj wawili asipate mpira kama umeangalia vzr kwaiyo hata kupokea mpira ni ngumu sana kwakeRice bado ni mchezaji ambaye bei yake haitozungumziwa. Tunakosa Fluid movement ya transition kwakua Kai anakua chini au mbali na mwenye mpira ili kutransition kwa pamoja.
Jorginho yupo kwaajili ya vision na pasi ila hakuna runs za msingi kutoka kwa forwards zetu. City wana huyu kipa namba 2 na hatujaamua kumjaribu why?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka kifalaKuna muda mbinu zikizid mechi haivutii Bora Nyumbu wanavyochezacheza hua kuna raha yake [emoji2][emoji2]
Safi sanaOur ladies are league cup winner. Co gratulations
City ametuhofia Sana, lakin lazima afemechi inaboa hii
Tunawaachia sana watuchezee bolimechi inaboa hii
yani mmetaitiwa vibaya sana kuna elekea mtajifunga sasa.City ametuhofia Sana, lakin lazima afe
City anakufa hii gameyani mmetaitiwa vibaya sana kuna elekea mtajifunga sasa.
Uo ndo uwezo wake akikutana na Big game.Odegaard inaelekea international games zimemchosha