BAHARI J
JF-Expert Member
- Nov 2, 2016
- 932
- 1,159
Mechi muhimuKatika vyanzo vyangu vya kuaminika kabisa
City 0 vs Arsenal 2
Mechi muhimuKatika vyanzo vyangu vya kuaminika kabisa
City 0 vs Arsenal 2
wanaruka ruka tu uwanjani jesusMbona mnacheza lafu tu?![]()
afu refa kangata meno hataki kutoa kadiMbona mnacheza lafu tu?![]()
mnaanza kutauta vijisababu eehMbona mnacheza lafu tu?![]()
Mechi kuhimuKatika vyanzo vyangu vya kuaminika kabisa
City 0 vs Arsenal 2


Tunawaruhusu sana wazurure kwetu na hatuwakimbuzi. Kule kwa Lewis kunahitaji mipira iende tumpe wakati mdumu yule dogoWaingie
Zin
Partey
Martinel
Alie karibu na Arteta, amuambie mpira wa kunyanyasika tulishausahau sisi
Tukuingize wewe mkorea labda.Kimsingi Pep ametuhofia au anataka atuue mapema. Ameingiza watu hawana fitness matokeo yake Ake ameenda kitandani
De bruyne hayupo form
Hii game Arteta ndio anailealea tu
Kule Ni nafasi ya martinel, na ndio mchezaji mwenye Kasi Sana tulie naeTunawaruhusu sana wazurure kwetu na hatuwakimbuzi. Kule kwa Lewis kunahitaji mipira iende tumpe wakati mdumu yule dogo
Ndio maana timu lenu halijielewi ...Kuna muda mbinu zikizid mechi haivutii Bora Nyumbu wanavyochezacheza hua kuna raha yake![]()








Rudisha miaka 10 nyuma, nikiwa kwenye prime huyu dogo Lewis ndio ingekua njia yanguTukuingize wewe mkorea labda.
Kabisa mkuu. Tungekuwa na Martinelli na wangekuwa wanamuona ( tunaupendelea sana upande wa Saka) na kupeleka mipira kule tungemnyanyasa yule dogo. Jorginho pia hapati nafasi kufanya mambo yake. Wametubana vizuri kwa kweli.Kule Ni nafasi ya martinel, na ndio mchezaji mwenye Kasi Sana tulie nae
Arteta hii game ipo mikononi mwake kabisa