Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Prediction yangu ya Vikosi ,baada ya kusikiliza Press zote mbili ya Arteta na Pep

Arsenal: Raya, White, Saliba, Gabriel, Kiwior, Jorginho, Rice, Odegaard, Saka, Havertz, Nelli (hopefully he makes it)

City: Ederson, Akanji, Dias, Ake, Gvardiol, Rodri, Kovacic, KDB, Silva, Haaland, Foden

Prediction

Mamacita 0 Arsenal 2
 
Man city bila John stones
20240329_165816.jpg
 
Wewe kenge ,tutampasua bwana enu man city ,halafu tunawangoja nyie

Nipo Twitter napambana na Nyumbu, chelkenge na TASAF(livakenge)

Tuna timu yakupiga umbwa yeyote yule
Masingeli kumbe upo?
Nilijua tayari machale yameshakucheza na kuamua kuwakimbia kondoo wako.

Kwa hio Cha-mbuzi nguli la soka lenye leseni ya Fifa daraja A toka Zurich Uswiswi
Mkishagongwa hio jumapili utakuja na ile Slogan yako ya "mkitufunga ni sawa na kunguru kumnyea binadamu anajifuta safari inaendelea" au safari hii una slogan nyingine mpya?
 
Manjesta mshajikatia tamaa ,mmebaki kuwa wapiga debe wa Mamacita

Endeleeni kukumbatia makocha matapeli kama 7hag

Na mnamleta Southgate,SAFI
 
Manjesta mshajikatia tamaa ,mmebaki kuwa wapiga debe wa Mamacita

Endeleeni kukumbatia makocha matapeli kama 7hag

Na mnamleta Southgate,SAFI
Bado tuna imani na Baba Ubaya Le Professional coach Sir Eric Ten Hag kocha la makombe.
Wakati Arsenyau msimu uliyoisha yuko kwenye peak kwa kuongoza ligi kwa siku 258 na kuishia kumaliza msimu mikono mitupu, kocha la ball pamoja na ugeni wake kwenye ligi na timu mbovu aliyokua nayo lakini alifanikiwa kunyanyua kwapa.
Msimu huu tena ndugu zetu Arsenyani mnaondoka mikono mitupu wakati Baba Ubaya anaelekea zake fainali na kunyanyua kwapa kwa msimu wa pili
 
Kwapa gani hilo,

Msimu huu na kikosi cha €500m kaburuza mkia

Hakuna timu nyepesi kucheza nayo kama manjesta kwasasa

Nyie inatakiwa siku hiyo tupige 4-0 half time

Binafsi sijaona timu mbovu kama manjesta msimu huu ,Bora Luton wasumbufu, Kuna nyie manjesta na Sheffield united

Ukipiga pass moja ushafika golini kwenu
 
Hizi games za kumalizia ligi, zilikua zinatukuta tupo na majerui wengi, hasa hasa key players. Mfano msimu uliopita, partey, saliba

Msimu huu, majerui ndio wanarudi uwanjani huku tukiwa tunaongoza ligi kwa gap dogo mno.
Hapa inabidi tukaze sana. Kuna wakati itabidi tucheze mpira wa kinyumbu kupata points 3
Game za mwishoni, kila game huwa ni ngumu kwa teams zote.

Kuna battles ya wanaoshuka daraja
Sometimes Bora ucheze na Newcastle/nyumbu/Kenge kuliko timu inayojitafuta kutoka kule chini

Kuna battle la top 4 hapa anahitajitaka timu moja (Aston v, Spurs)
Arsenal, city na Liverpool kimahesabu hawa hawatoki ndani ya top 4

Kuna battle la Europa (nyumbu, Brighton, westham)
Lakini Kuna uwezekano mkubwa Kati ya Aston Villa au Spurs akashikilia nafasi ya Europa

Arteta inabidi achange karata zake vizuri, atulize akili na asiwe predictable
IMG-20240329-WA0046.jpg
 
Attachments

  • IMG-20240329-WA0033.jpg
    IMG-20240329-WA0033.jpg
    114.3 KB · Views: 2
Wakati huo, nje wana defenders wa £77m na £67m nje kama mbadala.

Imagine wana hii mali as substitute
20240330_014156.jpg
 
Kuna kitu kikubwa sana ambacho mzee wenger mwishon kilimshinda kukitengeneza kwa quality aliyokuwa nayo.

Its about how to handle a pressure to deliver.wakati tunapotakiwa kushinda au tunapokuwa juu na kuna opponent anatufata kwa karibu basi mara nyingi hujikuta tunadondosha point.na hapa ndo tunepotezea vikombe vingi mno.

Ukiachana na strenth na weakiness za decline rice katika tactical na technical aspect,hapa arteta alilenga zaidi kusajili mentality ya mchezaji kuliko physical presence .Jamaa ana tabia za steven gerald mentally.yaani its not over until its over.

Kwanini rice mentally?ana self pride yenye faida,ana team pride,haamini mwingine atafanya ila yeye ndo atafanya,mechi kubwa kwake ni nafasi ya kustep up,anaongoza,analea wenzie,anahamasisha na mengine mengii.

Unaijua kazi ya james millner au vicent company wa city na captain arm band?basi mwangalie rice.

Siamini kama kikosi cha sasa kina quality kuliko vikosi vya miaka kumi iliyopita vya arsenal.
Unakumbuka fullback ya gael clitchy,bakar sagna?unakumbuka centere back ya vermaleen na laurent coscienly.?unakumbuka?

Kiungo cha carzola,wilshere,fabrigas,ramsey,rosicky,coquleen mtu kaz?song? Alexander hleb?samir nasri?

Hawa watu na wengine walikuwa na quality ila walikosa mentallity ya ushindi.they easily submitted to defeat within 90 minutes.hawakuhuzunika,hawakuumia ila walitazama mechi ijayo?. Kwa sasa pale nyuma kuna wauaji wenye tabia za kimafioso.a strong mentality gives you victory.
Mech ya kesho inaweza leta matokeo yoyote na hayatakuwa ya kwanza wala ya mwisho.

Arteta amewafundisha madogo kuinjoi game na kufeel game.Ila anakazi kubwa ya kujenga mentality ya ushindi ili achukue makombe
Arsenal? Yes ARSENAL
 
Back
Top Bottom