Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

naam hii ndio ligi ya mabingwa huu upande wa kina bayern/real/man c/asenal ndio unaonekana utatoa bingwa...binafsi nawaona siti wakipiga mtu kipigo cha mbwa koo halafu sasa huku bayern na asenali hii ngoma atakama arteta atatoboa akikutana na siti shughuli inakuwa imeshaisha 😎
De Bruyne nje miezi 2 huko...
 
Kama ww hujakimbia kule kwa wavuta bangi wenu basi na sisi hmu tupo sana.... Chelkenge hamtusumbui...tunaomba tukimaliza na City tuje na nyie maana naona mechi ile waliipeperusha kienyejienyeji...tuwakande kwanza kidomodomo kiishe
unaendelea kuota au sio , umkande nani wewe ,timu ya ushindi papatu papatu ,
Porto umeshinda kwa papatu ya penalty ndio uje ushindane na miamba ambao kila msimu wanafunga semi final ya uefa , miamba wamiliki wa kombe la UEFA kama Bayern
Toka usingizini wewe

Sent from my Nokia 6.2 using JamiiForums mobile app
 
Hii arsenal naionaga kama vile yanga interm of progress

1. wote wamepewa hard opponents in champion league level but they are confident enough to process
namaanisha yanga v mamelod
arsenal v bayern

2 wote ni vinala kwenye league zao respectively na wanaongoza kwa magoli mengi pia kwakuwafunga league opponent 5g goals in different matches.

3 they somehow ( yanga / arsenal) have some beautiful matching play style ( pira biriyani)

4 lastly kati ya mmoja hapo anaweza ishangaza dunia either yanga aishangaze africa in the caf knockout stage
au arsenal ashangaze dunia kwakumtoa bayern mwenye historia naye isiyo kuwa nzuri refer previous 10-2 aggregate match

football is full of joy to watch and we all waiting to be fascinated with the upcoming fixtures
 
Siogopi ndugu yangu...mi nazungumza uhalisia..sitashangaa tukimtoa Bayern..ila nitqshangaa sana tukicheza fainali🤠🤠...ratiba yetu ya EPL Iko tight..na hzi competition kadri unavyozidi kwnda mbele ndo inaku drain physically na mentally...ndo maana naomba tuwe na full squad for the rest of the season
Acha uoga ndugu Yangu
 
Picha za 1 June zimeanza kuvuja pale London

20240315_143750.jpg
 
unaendelea kuota au sio , umkande nani wewe ,timu ya ushindi papatu papatu ,
Porto umeshinda kwa papatu ya penalty ndio uje ushindane na miamba ambao kila msimu wanafunga semi final ya uefa , miamba wamiliki wa kombe la UEFA kama Bayern
Toka usingizini wewe

Sent from my Nokia 6.2 using JamiiForums mobile app
Nikukande ww🤠🤠...au unajitoa fyuzi...hujamalizana na sisi kule kwny jambo letu...tunahitaji GD kubwa kutoka kwako...kono la nyani lipo palepale
 
Siogopi ndugu yangu...mi nazungumza uhalisia..sitashangaa tukimtoa Bayern..ila nitqshangaa sana tukicheza fainali🤠🤠...ratiba yetu ya EPL Iko tight..na hzi competition kadri unavyozidi kwnda mbele ndo inaku drain physically na mentally...ndo maana naomba tuwe na full squad for the rest of the season
Kuna mtu alifikiri tungeitoa ile madrid na kuingia fainali. ? Nw mpira uwanjani tuombe tukutane na madrid na cyo man city
 
Na tutacheza naye..tuombe tuwe na full squad...bila majeruhi yyte hlo ndo kubwa...mabeki wetu wte wakiwa fit Hawa tunaruka nao
Naam, tuwe Fit na kikosi chetu kamili wanafungika Hawa vizuri tu.

Hii sio Arsenal ile ya kuungaunga iliyofungwa 10.
 
Hii arsenal naionaga kama vile yanga interm of progress

1. wote wamepewa hard opponents in champion league level but they are confident enough to process
namaanisha yanga v mamelod
arsenal v bayern

2 wote ni vinala kwenye league zao respectively na wanaongoza kwa magoli mengi pia kwakuwafunga league opponent 5g goals in different matches.

3 they somehow ( yanga / arsenal) have some beautiful matching play style ( pira biriyani)

4 lastly kati ya mmoja hapo anaweza ishangaza dunia either yanga aishangaze africa in the caf knockout stage
au arsenal ashangaze dunia kwakumtoa bayern mwenye historia naye isiyo kuwa nzuri refer previous 10-2 aggregate match

football is full of joy to watch and we all waiting to be fascinated with the upcoming fixtures
Uache kulinganisha matakataka na vitu vya maana...
Arsenal ana possibility kubwa ya kupita hapo Bayern sio mzuri sana msimu huu kama Man U tia maji tia maji walitoka 4:3 allianz Alena basi nina uhakika anatoka sema kigingi kipo nusu

Nyie uto na mamelod mzidi kuzidisha sala na sadaka... Hasa kama mliangalia Afcon.. kupita kwenu ni ngumu mno... Na hampiti tupo hapa jipen moyo tuu
 
this is football my brother anything can happen
 
Binafsi sijafurahi wala sijachukia kwa mpinzani tunayekutana nae robo fainali.

Madridi kuchukua makombe back to back ni namna tu anavyojua kucheza hii michuano.
Hii michuano kuanzia last 16 inazingatia vitu vifuatavyo.

1-maturity hasa mentally.hapa historia ya klabu katika uefa,watu wa saikolojia,umri na uzoefu wa wachezaji unahusika mnoo.

2-determination na awareness ya wachezaji muda wote wa mchezo.hapa sahau kumtazama refa na kumbuka kumtazama refa kwa faida."ramos anajua hili".spare no effort .unahitaji wachezaji wenye strong character na wanaojua thamani ya kila mpira ubaopigwa kwenda mbele.

3-utilization of moments kwenye mchezo.sahau kuhusu tactics na technics.hatua ya last 16-final inahitaji matokeo zaidi kuliko misamiati ya possession,transition ,counter attack na mengine.kifupi ungly victory inatumika sana.tumia kila nafasi unayopata la sivyo utajutia.

kocha na benchi lake la ufundi naamini kuna kitu watakuwa wamejifunza kwenye mechi ya poto.ni kosa kubwa kwenda na akili ya domestic league(epl) kwenye tournament league(uefa,europa na conference)

Naamini hiki ni kipimo sahihi kwetu,kwa wachezaji na kocha.
Mechi iliyopita na hizi zinazofuata katika uefa nadhani ndizo zinapaswa kuamua quality na character ya wachezaji tunaowahitaji kwenye usajili.

Come on Bavarians,we gonna show you each get of hell before we burry you.
 
Back
Top Bottom