Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mmhhh tembo ni tembo hata akikonda hawi sisimizi
Ukitaka kuitwa one of the best lazima upambane na hao the best🤠🤠..mm binafsi nataka tukutane na Bayern...kile kitakuwa kipimo sahihi sana...Hawa kina Atletico sijui Dortmund tutawaonea kwakwli
 
Ninyi Kenge mshaanza kujiita mabingwa wa uefa si ndio ?
Mnadhani UEFA ni kombe la mbuzi ?
Na ushindi wa papatu papatu dhidi ya Porto , false hopers mtaumia Sana , ngoja mkutane na vijeba hatua inayofuata , naomba mkutane na Madrid au Atletico ,mfirimbwe kwanza mpaka akili ziwarudi

Sent from my Nokia 6.2 using JamiiForums mobile app
 
Kharamu football ile ya Porto ndo kama ilivyokua na Game na Newcastle ile waliopewa goli , ndo game zinawafanya kina Ben White, Saliba, GM6 na King Kai kua Wanyama na wakatili kabisa uwanjani[emoji3]
 
Ni fahari kuona mkipigana vikumbo na kina Nottingham Forest kule chini...kule Sasa ndo maeneo yenu ya kujidai[emoji1783][emoji1783]...timu ya mpira inacheza vurugu na mashabiki nao ni watu wa vurugu...yaani mnaendana
Mtabeba vibuyu Tu , Arsenyetoz ni mwiko kugusa kombe takatifu kama la UEFA

Sent from my Nokia 6.2 using JamiiForums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…