999 chatta
JF-Expert Member
- Apr 17, 2020
- 875
- 1,629
Nenda kampe ww hyo kadi...
Mtafute na yule kiherehere mwnzio Labyrinth 84 aje kuanza kutupa habari za false hopes na stats za wachezaji wake kina Gordon na AlmironHalafu refa alikua anamlea sana Havertz sijaamini kama amemaliza dakika zote 120 bila kula umeme wakati tayari alikua na kadi ya njano.
Waje tucheze bolu...ize tu🤠🤠Chawa pro-max naona leo unafuraha ya 5G, ni vile haujajua tu balaa linalokufika huko mbele, huko unaenda kukutana na magiants wenyewe.
Kiukweli sijafurahi kabisa kupoteza usingizi wangu kwa kuangalia ushindi wa penalties.Mtafute na yule kiherehere mwnzio Labyrinth 84 aje kuanza kutupa habari za false hopes na stats za wachezaji wake kina Gordon na Almiron
Yaani jamaa wahuni kabisa. Ukiwagusa kidogo tu hata kwa pumzi wanajiangusha ili wapoteze muda. Tukianzisha shambulio, wanatupiga foul.Wale Porto wanaujua mpira aisee...ingawa na refa alikuwa upande wao ila tumewatoa...jamaa Wana faulo za kisirisiri sana...halafu sisi tukiguswa hatuanguki hovyohovyo na hata tukianguka refa anakausha tu ila wao ukivigusa tu tyri vinakaa chini kabisa🤠🤠🤠....ila all in all(in Baba Levo's voice)...tumewatoa....wakaendelee kurukaruka huko kwny ligi yao
Mwanitesa utd usilie Sasa😄😂Kimasihara masihara Asaninyau nae akibeba Uefa tutamtania nani mwingine kuhusu Uefa?
Eeeehh Mungu tuepushe na hii fedheha walakini si kwa mapenzi yetu bali yako yatendeke.
Kesho Masingeli kabla hata ya kupiga mswaki lazima aje atukandie humu utafikiri Porto ndio timu yetu wakati sisi ni friends tu of Porto.
Arteta anaaangalia kudominate zaidi na anajitahid defence yake ianzie ndo maana unaon sikuizi mpaka wakina ode wanakata umemeYule Zinchenko defending ndo shida...ile winger Yao ya kule Ina usumbufu sana...sidhani kama ataiweza
Raha ya mechi Bao..na Bao lilipatikana🤠🤠...tumewaonesha upande WA pili pia...mkituchezea pira vurugu mkataka kwnda Penalties na sisi bado sio salama kwenu...tutawafunga tu...hatukwepeki kiufupi..kituo kinachofata ni kwa Kipara...yule lazima tumtie ngeta moja matata sanaKiukweli sijafurahi kabisa kupoteza usingizi wangu kwa kuangalia ushindi wa penalties.
Kuna arsenal hii halafu kuna arsenal inayocheza midomoni mwa hamis77 na genge lake, ni vitu viwili tofauti kabisa.
Kuliko Aaron?Wasifike Penalty...Raya ni mweupe kabisa...yule kipa wa Porto ni mzuri kwa Penalt
Halafu si tuliwaahidi watu kuwa kono la nyani litahusika?Raha ya mechi Bao..na Bao lilipatikana🤠🤠...tumewaonesha upande WA pili pia...mkituchezea pira vurugu mkataka kwnda Penalties na sisi bado sio salama kwenu...tutawafunga tu...hatukwepeki kiufupi..kituo kinachofata ni kwa Kipara...yule lazima tumtie ngeta moja matata sana
Huyu jamaa anaweza kusave iyo break up unayopitia kaka
Sawa mkuu🤠🤠...ni migumu kwli ndo maana vitimu vyenu havipo hii hatua...vilipigwa mitama viko chaliKwa taaaaaaabu na huyu ni porto mnako elekea ndio mwisho michuano hii ni migumu kwenu.
kiukweli kama Porto tu inawatoa jasho hivi mtaenda kututia aibu sana huko mbele sioni umuhim wenu wa kusogea hatua nyingine kama hadi Porto mnaitaji matuta kuwatoa.Wanangu acheni Mimi nilale, nitakuja hapa kukipambazuka
KENGE na NYUMBU get ready
.
.
#COYG