Twin Tower
JF-Expert Member
- Jan 13, 2023
- 4,904
- 7,156
Hawa Portal tumalize hesabu bado mapema. Wasizoee uwanja
Friends of FC Porto tumeshaingia Tz 😂Japo sija Soma comments yako, ila nime Lia we sio wa 🤓🤣
Au siyo 😂Hawa Portal tumalize hesabu bado mapema. Wasizoee uwanja
Ngoja nione arse8 wanavyokaangwaWww.Score 888.com
Taratibu mazeeArsenal kazidiwa
Wako vizuri aisee. Tuwaige mambo kadhaa hawa. Hata style yao ya kukimbia mbele kwenye free kick ili kuhakikisha wachezaji wetu wanabakinoffside nimeipendaPorto defending yao imekuwa bora sana. Hii mipira ya kutenga nadhani wameifanyia kazi mahsusi dhidi ya Arsenal.