Smith Rowe
JF-Expert Member
- Sep 18, 2018
- 4,511
- 9,562
COYG
Bookies are on our sideLet's say our prayers though it is not a difficult game to win
position si wanacheza mmoja , ungeniambia hichi na hichi kazidiwa maana kwa sasa sina nguvu ya kuongea nimekuachia wewe lakini hunionyeshi walichomzidi gordon nitafutie viwili tu.Hivi kabisa unakaa chini unaanza kumfananisha Gordon na Martinelli na Trossard🤣🤣...kwli maajabu hayaishi hapa duniani...Gordon hyu hyu tunayemuona akikimbiakimbia kule mbele
Sio kwa ubaya. Ila tunawakumbushaSio kwa ubaya. Ila tunawakumbusha
1. Carabao cup : ❌❌❌❌
2:EPL loading : FALSE HOPE 🔞
3: UEFA loading: FALSE HOPE🔞
4: FA Cup : FALSE HOPE: ❌❌❌❌
Sio kwa ubaya. Ila tunawakumbusha
1. Carabao cup :
2:EPL loading : FALSE HOPE
3: UEFA loading: FALSE HOPE
4: FA Cup : FALSE HOPE:![]()


Daaahh mashabiki wa Chelsea mnajua kusimanga kwelikweli, wenzenu sisi hua tunatania ule utani wa utani lakini nyinyi utani wenu ni ule unaofanana na ukweli


Japo sija Soma comments yako, ila nime Lia we sio wa 🤓🤣Ety Friends of FC Porto 😂