Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Maelezo mengi yasiyo na maana, jiandae kusafirisha msiba wa shangazi yako porto
 
Arsenal ndo the only one
The Premier League top three against each other this season:

🥇 Arsenal - 2W 1D 0L
🥈 Liverpool - 0W 3D 1L
🥉 Man City - 0W 2D 1L

Arsenal are the only team with a win and the only one without a loss.

The Etihad awaits… #afc
 
Brighton yupi au ndo yule tuliempiga msako wa mbwa mwizi had kocha wao akasema hajawahi kutan na total dominance ya hali ile akiwa brighton
 
Kama hujaona utofauti ya arsenal wa msimu uliopita na msimu huu inabidi ule vyakula vitakavyosaidia kuongeza akili ya utambuzi na uchanganuzi wa mambo..
Msimu ulioisha timu ililoss momentum game za mwisho lakini sasahiv timu imegain momentum game za mwisho.
Msimu ulioisha timu zilizoweza kutudominate zilishinda au kutoa sare dhidi yetu msimu huu hakuna mjinga anaelogwa kutudominate wengi waliopata walau sare msimu huu ni msaada wa marefa wa VAR kwa magoli ya mipira iliyokwisha toka
 
Umeeleza kipuuzi sana asee yaan vila ampe tough game arsenal pekee wakt anamechi na timu zote zilizo juu yake na anahitahi walau kumpiku spurs kuitafuta top4 sasa nikwambie tu villa anaweza mshikilia mtu yetote yule anaemfata hasa home kwake
 
Umeeleza kipuuzi sana asee yaan vila ampe tough game arsenal pekee wakt anamechi na timu zote zilizo juu yake na anahitahi walau kumpiku spurs kuitafuta top4 sasa nikwambie tu villa anaweza mshikilia mtu yetote yule anaemfata hasa home kwake
Hyu anatapatapa...sisi anatupangia kabisa atakayetufunga halafu yy kajipangia hakuna wa kumzuia🤠🤠..hzi akili sijui za wapi
 
Leo zitapigwa pasi 900+ na chuma 3 kambani.
Your browser is not able to display this video.
 
Arteta amefanya kazi kubwa sana kuijenga timu yetu ya sasa.

Kujenga a two consecutive seasons competing team kwenye EPL sio kazi ndogo. Wanajaribu kumfananisha na akina Ole, Moyes, Zebri, Ange, Ten hag n.k kiukweli hawako level yake. This guy had a plan hata kabla hajawa kocha. Alipoipata ajira Arsenal akaianika wazi (Refer to previous interviews pamoja na All or Nothing series).

Huyu jamaa ninampa maua yangu regardless of the trophies he has to deliver.
 
"lakini sasahiv timu imegain momentum game za mwisho"

Game za mwisho zipi unazozizungumzia wewe?
Mmegain momentum ipi kweny hizo game za mwisho wakati hizo game za mwisho bado hazijaanza kuchezwa?

Tunaposema game za mwisho tunamaanisha zile game 10 za kumaliza ligi ambazo mtaanza nazo kwa kucheza na Mancity.
Msimu ulioisha hizo game 10 za mwisho ndio mlianza kudondosha points mfululizo mpaka City akawapiga bao.
 
Suffering from success
 
Kumbe hamjaanza leo kudanganya asee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…