Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Ndio mnagundua leo. Liverpool tunao watano pia wana 10 + goals contribution
 
Marefa wa EPL inabidi wachunguzwe, neno "human error" lisitumike tena. Wanatumia technologia ya juu, why should be there a human error?
Adhabu za marefa wanaonyesha udhaifu shouldn't be a one match suspension otherwise, hii kitu haitaisha. Paul Tierney na timu yake walifanya makusudi kuwabeba Liverpool
 
Tukisema tuangalie msimu huu nani kabebwa na marefa kati ya sisi na nyie mtaona aibu tu. Kama marefa wangekuwa fair kwenu saivi tungekuwa tumewaacha alama sita

Sent from my Infinix X6517 using JamiiForums mobile app
 
Labyrinth 84 is just a bitter, angry and fvcked up ex.

Let him/ her go
Kipindi hicho tulimjibu kuwa hatuna hao strikers wa magoli mengi ila ukiangalia kwa timu nzima bado tunafunga magoli mengi. Kwa kugawana magoli unakuta hata mabeki wetu wana magoli kuliko baadhi ya washambuliaji kama kina Antony Masebene.

Pia inakuwa vigumu kiasi kutuzuia maana kama kila mtu ni mfungaji, ni ngumu kwa timu pinzani kumkamia kila mchezaji wetu.
 
Tuna beki ambaye alibakia kura sita tu abebe mchezaji bora wa ulaya vipi mnaye?

Sent from my Infinix X6517 using JamiiForums mobile app
Huyo beki wenu tunamkubali sana.
Tunamshukuru pia kwa kutukumbuka tunavyomkubali kwa kushirikiana na kipa wenu kutupa assist ile mechi tuliyowafunga na kutusaidia kupambana kubaki kwenye mashindano hadi sasa.
Ukiweka ushabiki na utani pembeni aisee jamaa ni BEAST. Sijui mngekuwa wapi bila VVD. Mngekuwa Newcastle aliyechangamka.
 
Mlimloga Alisson wajinga nyie

Sent from my Infinix X6517 using JamiiForums mobile app
 
Bahati nzuri kidogo tuliyopata hapo ni kuwa huyo wa kwanza katika mechi zake mbili alizopoteza, moja tulimuua sisi wenyewe. Wapili naye kwenye mechi zake 3, moja tulimuua sisi wenyewe. Hawa jamaa hawafungiki kirahisi ila sisi tulizembea kukubali kufungwa na timu ambazo kikawaida tulipaswa kuwafunga. Bahati nzuri tuliweza kulipiza kisasi kwa West Ham na Newcastle ila mtu kama Fulham alitutoroka maana tayari alishapata sare. Tuombe tuendelee kupiga kila ajaye hivi hivi.
 
Kai Havertz has been directly involved in more Premier League goals this season than:

◉ 9 - Bruno Fernandes
◉ 9 - Raheem Sterling
◉ 9 - Luis Díaz
◉ 9 - Moussa Diaby
◉ 8 - Cody Gakpo
◉ 8 - Dejan Kulusevski
◉ 8 - Marcus Rashford
◉ 7 - Jérémy Doku

£60m down the drain.
 
Badala umuwazie brentford
Jana nilisema kabla ya mechi zile habari za nne nne kwenda juu zipo palepale ndugu zetu🤠🤠...Sasa kwa Hawa Brentford kwakuwa Wana mwanajumuiya mwenzetu wa East Africa Community bwana Wissa a.k.a mkata mauno kutoka Congo...sisi kama ndugu zake kwny jumuiya tutamhufadhia heshima yake....chuma tatu zitawatosha....na watapata on target moja tu mechi nzima🤠🤠...karibuni Imarate Jumamosi tuje kusheherekea kilele cha Tetaball
 
Kai amefikia jumla ya magoli ya Xhaka ya last season 7 ,na Bado ana mechi 11 zaidi

Jumla ana G/A ya 10 Kwa EPL tu

Nilimtabiria kufunga 15 Goals michuano yote na assist 5 , G/A ya 20

Alichelewa ku click but naona akifikia hiyo G/A ya 20
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…