Guacamole
JF-Expert Member
- Mar 19, 2019
- 6,111
- 16,162
Unasema??😂😂Friends of Shefield tumeweka kambi hapa leo mtaeleza yani
Unasema??😂😂Friends of Shefield tumeweka kambi hapa leo mtaeleza yani
Dakika ya 15 mashabiki wa sheffield wanaanza kuondoka uwanjani
Jamani waambieni wale fans wa Sheffield waende wakalale🤠🤠🤠...hmu ndani hatutaki fujoMpaka tumalize msimu itakuwa kawaida kucheza kwenye away stadiums zenye fans wetu tu.
Wamepoteza hela zao bure tuDakika ya 24 mashabiki wa Sheffield wanatoka uwanjani
Siku hizi tunafukuza nzi uwanjani na humu jukwaani kwa mpigo.Jamani waambieni wale fans wa Sheffield waende wakalale🤠🤠🤠...hmu ndani hatutaki fujo
Hawa watoto wakimaliza hii mechi wataenda kuwasimulia wale wenzao Luton na kina Brentford kwmba wajipange🤠🤠ðŸ¤Hii hapana HAIKUBALIKI [emoji3][emoji3][emoji3]
Hakuna simulizi, wanafuatilua pia including Porto naye anatia majiHawa watoto wakimaliza hii mechi wataenda kuwasimulia wale wenzao Luton na kina Brentford kwmba wajipange🤠🤠ðŸ¤
Pole sana, soma hukoooooFriends of Shefield tumeweka kambi hapa leo mtaeleza yani
Tupo fezi siriii...hatujafika fezi foo bado🤠ðŸ¤Hiiiiiiihhg hivi vipigo nyie nao muwe hata na huruma