Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kwaio mzee wangu ile incident ya Konate ilikua vipi nipe ufafanuzi?
You did the same to Luton just remind yourself.
Jealous when the extra time favoured Liverpool but if it is on your side you're acting like nothing happened.

Hypocrisy
 
Lineups zimetoka.

Ya Sheffield inaonyesha wazi lengo ni kupaki basi na kutegemea transition na kaunta. In all honesty tunacheza na timu ambayo ina forward dhaifu na hapohapo hawana defence so ni fair hii style wanayocheza.

Arteta, ili kucounter hii kamuweka Kai mbele, halafu kati kamuweka Jorginho. Hapa idea ni Kai awe decoy wakati long balls na thru balls za Jorginho zikutane na wingers.

Wanaokuja humu kuwashangilia the blades ni wanakuja kujifurahisha wakirarajia miujiza na siyo quality superiority ya hivi vikosi viwili.

Biggest loss ya Arsenal mpaka muda huu ni alifungwa goli 2 bila na Westham. Tafuta timu nyingine ambayo hiyo ndiyo biggest loss yake mpaka sasa hivi.
 
He is back
IMG-20240304-WA0017.jpg
 
Utaamini kama kuna wajinga walikuja hapa wakiamini Arsenal itafungwa?
 
Back
Top Bottom