verifaidi yuza
JF-Expert Member
- Sep 13, 2018
- 3,121
- 6,184
Ila itabidi awe anaingia hata dk za 80 ili apate match fitnessHuyu Sasa awekwe nje...tuna mechi na Man City baada ya Porto...hyo ndo itamfaa...hzi zingine aachiwe Kiwior na Tomiyasu wamalizane nazo🤠🤠...Haina haja ya kuonea watu halafu tukaja kuonekana tuna roho mbaya...sio utamaduni wetu
Nyumbu wanaweza kukushangaza wakamganda city kama maiti iking'ang'ania muoshajiMm hata ashinde 15...sina shida naye maana najua hawezi kumaliza juu yetu...huo ubavu msimu huu Hana 🤠🤠...kwhyo Manunu liwakute jambo ziti kwakwli hii weekend
Huyu ipo siku tu atacheza ArsenalTumeishia wapi kwa Mudryk kua hatari nyingine hapo chelsea?
Kipindi kile tuliwabeba mkawa top of the table lakini hamkutoa shukrani na dharau dhidi yetu zikaanza. Sasa hivi jipambanieni wenyewe tuone kama mtabahatika kukalia tawi kwa mara nyingine tena.Tuwaache manyumbu wapambane na hali yao. Wakishinda watampunguza spidi kidogo mamacita. Wakifungwa wataanza kupotezwa mdogo mdogo kwenye kupambania top 4 na top 6. Waamue wenyewe wanataka nini 😄😄
Mnajipambania wenyewe aisee....sisi habari za kusaidiana hatutaki🤠🤠...tunawatakia Kila heri hyo siku...ila mjitahidi sana msije mkala wiki...maana nyny akili zenu mnazijua wenyeweKipindi kile tuliwabeba mkawa top of the table lakini hamkutoa shukrani na dharau dhidi yetu zikaanza. Sasa hivi jipambanieni wenyewe tuone kama mtabahatika kukalia tawi kwa mara nyingine tena.
Ngumu sana.Huyu ipo siku tu atacheza Arsenal
Ndiyo ndiyo mzee MudiNasubiriiii nione arteta atafanya maajabu gani ila mpaka sasa asilimia ya kupigwa kwa kai ni 75% kwa 25% .
Ukifananisha mudryk na kai naona kabisa arsenal kwa kai kapigwa,kwanza hela yote hilo kwa lipi alilofanya chelsea unanunua flop player kwa 65pia bado mshara anakula £ 331000 per week.
Kai misimu yote kwa chelsea hajawahiii kufika goal 10 au assists 10 per season na wala asijifiche kwenye ubovu wa chelsea last season, kinachompaisha ni goal la uefa na world club cup.
Mudryk ndo kwanza hata game 20 akiwa chelsea hajafikisha then unasema ni flop kweli? Mudryk pesa anayolipwa ni £97000 per week.
Kuna kipindi tuliambiwa mchezaji ataenda kuharibu atmosphere ya wachezaji pale arsenal kwa kulipwa au ku demand mshahara mkubwa bora aache sijuii kwa haivertz ni tofauti au ndo ni yale yale tumemkosa now tumponde “ sitaki mbichi hizi”
Ndiyo bwana MartinezHawa Arsenyau wana nongwa na wivu sana kikubwa ni kuwazoea tu, hata Martinez wakati wao wanamtaka walikua wanamsifia kwelikweli utadhani hakuna CB bora duniani kuliko Martinez, ila baada ya kusajiliwa na Man Utd wakaanza kumkandia kua kaMartinez ni kafupi sana hakafai kua CB, mara sisi tulikua tunamtaka aje kua backup sio starter, wengine wakadai ametokea farmers league Epl atakua ni flop.
Mashabiki wa Arsenyo ni wana wivu kuliko hata dada zao.
Msiwe hivyo guys. Msiwe na kinyongo 😁😁. Tupigieni huyo mamacita hata 4-0 mkitaka. Wanaofuata watawarudisha kwenye -ve GD.Kipindi kile tuliwabeba mkawa top of the table lakini hamkutoa shukrani na dharau dhidi yetu zikaanza. Sasa hivi jipambanieni wenyewe tuone kama mtabahatika kukalia tawi kwa mara nyingine tena.
Msiwe hivyo guys. Msiwe na kinyongo. Tupigieni huyo mamacita hata 4-0 mkitaka. Wanaofuata watawarudisha kwenye -ve GD.
Ila si inategemeana na situation ilivyokua,Ngumu sana.
Kuna klabu zikikutaka usipokuja ujue ndiyo imeisha hiyo.
Arsenal siyo united au chelsea.
Halafu utawasikia mashabiki wa Chelsea wanalalamika Kuna wachezaji hawana mapenzi na timuKwamba Chelsea ili kumfosi Mudryk kwenda darajani ikabidi wacheze mechi ya kirafiki na Shakhtar Donetsk.
Kisha Mudryk akapiga simu Arsenal huku analia.
View attachment 2919283