Mbeleko ipi mkuu?Hizi mbeleko zitakuja kufeli.
Soon shortcomings zao zitacatch up
🤣🤣🤣🤣....watu mlishajua kuku kqchinjwa sio🤣🤣🤣Mafala mali wameshaokoa, wanaanza kujipiga chenga wenyewe
Anajua kutufunga sisi tu🤠🤠....msiwe na wasiwasi pale juu Hawa videli watatoka tuAwoniyi kiazi kabisa
Mbeleko how?Hizi mbeleko zitakuja kufeli.
Soon shortcomings zao zitacatch up
SawaKuku upepo ndo unakata huo, swala la muda tu wataondoka pale juu
Mkuu majeruhi ndo wanarudi we unasema wanakata upepo?Kuku upepo ndo unakata huo, swala la muda tu wataondoka pale juu
Kila mtu ashinde mechi zake.Tatizo lenu Arsenal mna dharau sana, leo hii tungewapeleka nafasi ya pili ila tunamuachia City ashinde ili kuwakomoa washika manati wa London.
Kuku upepo ndo unakata huo, swala la muda tu wataondoka pale juu