Niliwahi andika hapa so nitarudia tu.Mudryk is far better kwa kai , hakuna hata mmoja hapa anaepinga chelsea last season ilikua mbovu na mudryk kaenda blues january.
Mudryk the way anavyocheza unaona kabisa huyu dogo anakila kitu tumemuona akiwa shakhtar kwenye UEFA alikuwahata baadhi ya game alizopata nafasi hajafanya vibaya kacheza vizuriii tu na hata hizi pre season yuko vizurii this season huyu dogo itakuwa habari nyingine kabisa chelsea.
Huyu mudryk kipindi kile anatakwa na arsenal watu walikua wanasifu sana mara ooh ni neymar mpya nashangaa now vijana wanaponda tu kisa kaenda chelsea , ushabiki wa kitoto sana huu .
Mudryk na kai still mudryk ni far better kwa kila kitu naamini this season tukipata muda tutarudii tuone nan kafanya vizuriii zaidiii . Flop ni pale unapopewa chance na haufanyi chochote nembu tuonyeshe u flopp wa mudryk hata kwa kutaja game 1 tu ya zilizopita
Kwa pace ya Mudryk na magoli aliyofunga kabla hajaja chelsea Mudryk ana poor finishing na poor composure.
Na debut yake akaprove nilichoandika.
Na akaprove tena na tena na tena na tena.
Nikaandika pia Mudryk ni winger anacheza kwa Martinelli, na Martinelli msimu uliopita ndiye best shooter wa Arsenal na ndiye top goal scorer
Je utamuweka benchi best shooter na top goal scorer? No.
Je utanunua back up kwa 95M? Jibu linakuja tena hapana.
Zamani 95M inakupa finished article. Hata 65M inakupa finished article ila siku hizi unanunua mchezaji kwa 80M ili uje kumfundisha mpira, ndiyo kingetukuta kwa Mudryk.
Ameenda chelsea, chelsea isajili ST kisha wamuweke Mudryk kama SS itawasaidia.
hata baadhi ya game alizopata nafasi hajafanya vibaya kacheza vizuriii tu na hata hizi pre season yuko vizurii this season huyu dogo itakuwa habari nyingine kabisa chelsea.


️ Always learning 

