Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,407
- 102,428
Tuna hitaji striker mkatili, naikumbuka Bayern ile hata aongoze 5 lazima akutafutie makosa ya kukufunga😆.Arsenal sio wakatili mbele ya goli la mpinzani, UTOTO mwingi sana, inahitajika akili zao zibadilishwe, huyu NYUKESTO alipaswa ale hata goli 5 kipindi hiki cha kwanza.