Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Porto hakijawahi kuwa kiwanja chetu kirahisi,na wao wakijaga london kula tano ni kawaida
 
Changamoto hii hapa

Msimu uliopita nani alijua Sporting atatusumbua?

Na atatutoa?

Mpaka sasa hivi kitakachotokea ni kwamba Porto atakuja anawaza mpira ule ule.

Basi na kaunta. No any other issue.

Watatukamata kwa kushtukiza wakicheza kwa nguvu angalau kwa dk 20 za kipindi cha kwanza.

Porto walidondoka kila walipoguswa. Kipa wao walimkanyaga wenyewe na bado refa akawa anaitafutia Arsenal pa kuichoma.

But hivyo ndivyo mpira wa CL ulivyo. Zile dondoka dondoka zote added time ni 4 minutes 😅

We were horrible
 
Sema record yao Emirates inawahukumu kwahiyo wanapaswa kuja kwa nidhamu zaidi ili kulinda walichokipata vinginevyo mambo yanaweza kuwageuka
 
Kenge na nyumbu msimalize maneno

Nawapeni tahadhari tu

View attachment 2912156
Unataka kutuaminisha nini kaka😂😂😂,
Binafsi sipendi itokee ila arteta na michuano ya ulaya ni mafuta na maji....bado inamsumbua sana.
Jana kazidiwa na hizi wiki mbili kabla marudio asipo kuwa kajifunza kitu matokeo atakayopata hayatavuka hapa 1-0,1-1,2-1....
 
Nyie KENGEEEEEE mpooo
 

Attachments

  • 1531215611.mp4
    1,018.9 KB
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…