Tunafungwa magoli ya kizembe sana, too many stupid goals, ndio tulisema tunataka mabeki wa kueleweka, hawa akina koscielny wataendelea kutu-cost mechi hadi mechi.
Hii ya arsenal mkuu dahNdo maana wamefungwa awa watu....wee kijana umetembelea jukwaa hili?, maajabu!?!
Tatizo la Arsenal kwa sasa ni midfield. Mi naona Arteta hana msaada kwa timu though leo kafunga!
Hawezi kuconnect na Van P,
Hahahaha! umeniona ehh nilivokuchokozaaa?,manake nimejiongeleshaaa weee ata hustuki...lol!
Hahahahaha! wapi wacha kaboy?, naona anapiga chabo kwa mbaliiiiiiii!!!?.....khekheeeeeeee!
Mie nguvu zote kwenye Carling Cup msimu huu,
Shida yenu si mnataka tupate kombe hili mkatishe hesabu yenu ya miaka sita bila kombe?
Tatizo la Arsenal kwa sasa ni midfield. Mi naona Arteta hana msaada kwa timu though leo kafunga!
Hawezi kuconnect na Van P,
If the manager can't deliver, it's now time for a change! Too many loses don't add up to a win, Wenger, just go & leave us in peace, please!
Dedication: Usikate Tamaa by Martha Mwaipaja.
Kuna kipindi tulikuwa tunafungwa lakini tunapata cha kujivunia kwamba tunacheza mpira mzuri.
Msimu huu hakuna cha mpira mtamu wala nini, tupo tupo tu , na mpaka wachezaji wazoeane tutakuwa tunagombea top 10.
<span style="font-family: book antiqua"><font color="#b22222"><font size="3">....hahhhhh? if you regret being an arsenal fan why dont you just leave and let us [supporters] support our team for better and for worse?
fans like you are those who makes a bunch of a laughing stock...<br />
</font></font></span><font color="#ff0000"><font size="3"><span style="font-family: book antiqua">arsene shouldnt go but 'funs' like you are the ones who should stand aside and be counted!</span></font></font>